Swali hilo anaweza kujibu JK mwenyewe, otherwise Kitengo cha Habari cha Ikulu!!!Hiyo Tanzania anatumia kigezo gani?
Niwe completely out of thread context wakati nimeshasema mleta mada ametia chumvi... alichosema sicho kilichoongelewa!!! Inaonekana wewe source yako ni mleta mada wakati mimi nimesikiliza hotuba A-Z!
Swali hilo anaweza kujibu JK mwenyewe, otherwise Kitengo cha Habari cha Ikulu!!!
Swali hilo anaweza kujibu JK mwenyewe, otherwise Kitengo cha Habari cha Ikulu!!!
Umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba nakubalina na JK?Kwa hiyo unakubaliana na JK bila kujua anatumia kigezo gani?
Umeongeza chumvi, hajasema Afrika bali amesema Tanzania... kwamba, kwa sasa hakuna mwanamuziki Tanzania anayemzidi Diamond na huo ndio ukweli wenyewe, asiyetaka atuwekee tangible evidence na mapenzi ya moyo yanayosukumwa na emotions!
Sasa ni nani aliye out of context of thread? Kwanza, mie niliku-quote wewe na siku-quote thread... which means, nili-quote post na sio thread kwahiyo there's no way naweza kuwa out of thread context wakati nili-quote post! Pili, nashangaa unanidai ushahidi....Ndiyo maana nikasema uko out of context ya thread kama ilivyoletwa na mleta mada.
Pia, hujatoa ushahidi wowote kwamba alichosema Kikwete si alichoandika mleta mada.
Tutajuaje kwamba humtetei Kikqete tu?
Weka audio hapa.
Sasa ni nani aliye out of context of thread? Kwanza, mie niliku-quote wewe na siku-quote thread... which means, nili-quote post na sio thread kwahiyo there's no way naweza kuwa out of thread context wakati nili-quote post! Pili,
nashangaa unanidai ushahidi.... ya nini nihangaike kuleta ushahidi ikiwa inaelekea unaweza kuamini jambo bila ya ushahidi wowote?! Hiyo hoja ya mleta mada unayohishadadia haina ushahidi wowote lakini umeiamini... huoni busara ni kutaka ushahidi kutoka kwa mleta mada badala ya kuutaka kutoka kwa wachangiaji?
Hahahahahaaaa.... ulidhani nimesahau kwamba nimeandika nini... I knew it before kwamba hapo ndipo utakapokimbilia... my post was crystal clear:Unaniuliza nimetumia kigezo gani kusema unakubaliana na JK.
Ushasahau ulichoandika mwenyewe kama nilivyokunukuu hapo juu?
Kwahiyo kama hutaki, tuwekee tangible evidence ya kuthibitisha vinginevyo!! Sie wengine kusoma hatujui lakini picha ukutani tunaziona wazi wazi... na picha zenyewe ndizo hizi hapa:Umeongeza chumvi, hajasema Afrika bali amesema Tanzania... kwamba, kwa sasa hakuna mwanamuziki Tanzania anayemzidi Diamond na huo ndio ukweli wenyewe, asiyetaka atuwekee tangible evidence na sio mapenzi ya moyo yanayosukumwa na emotions!
Hahahahahaaaa.... ulidhani nimesahau kwamba nimeandika nini... I knew it before kwamba hapo ndipo utakapokimbilia... my post was crystal clear: Kwahiyo kama hutaki, tuwekee tangible evidence ya kuthibitisha vinginevyo!! Sie wengine kusoma hatujui lakini picha ukutani tunaziona wazi wazi... na picha zenyewe ndizo hizi hapa: View attachment 223595 View attachment 223596 View attachment 223597
hilarious ndio nini? kizungu changu hakijakaa vema lakini nina uhakika wa 100% kwamba umenielewa vinginevyo unataka kuleta ubishi usio na tija... taifa linahitaji nguvu kazi yetu badala ya kubishana mambo ambayo majibu yake yapo wazi!!!!!You are hilarious.
Basically you are saying "Mie nipo Dar es salaam na sipo Tanzania, ukisema nipo Tanzania utakuwa umekosea kwa sababu niko Dar es salaam na kwa hiyo siwezi kuwa Tanzania".
Nani kakwambia nimemuamini mleta mada?
Kujibu thread katika context ya mada ilivyoletwa ni kumuamini mleta mada?
hilarious ndio nini? kizungu changu hakijakaa vema lakini nina uhakika wa 100% kwamba umenielewa vinginevyo unataka kuleta ubishi usio na tija... taifa linahitaji nguvu kazi yetu badala ya kubishana mambo ambayo majibu yake yapo wazi!!!!!
hakuna nilichotia chumvi hapo..nilikuwepo uwanjani jana usipotoshe thread..Niwe completely out of thread context wakati nimeshasema mleta mada ametia chumvi... alichosema sicho kilichoongelewa!!! Inaonekana wewe source yako ni mleta mada wakati mimi nimesikiliza hotuba A-Z!
Ikiwa umeshindwa kunielewa kwa kitu kidogo kama hicho basi ni ama uwezo wangu wa kuelekeza ni mdogo au wa kwako wa kuelewa ni mdogo! Katika mazingira kama hayo, tutakuwa tuna-under utilize one of the most important resources, MUDA!Unakataa kwamba imekubaliana na JK kwa kuandika "huo ndio ukweli wenyewe"?
Kuwa darasani haimaanishi ndo unaelewa sana kuliko wale ambao hawakuwa darasani....hakuna nilichotia chumvi hapo..nilikuwepo uwanjani jana usipotoshe thread..
Ikiwa umeshindwa kunielewa kwa kitu kidogo kama hicho basi ni ama uwezo wangu wa kuelekeza ni mdogo au wa kwako wa kuelewa ni mdogo! Katika mazingira kama hayo, tutakuwa tuna-under utilize one of the most important resources, MUDA! Nikiri wazi kwamba, binafsi uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo... upo kwenye super saturated point! Uwezo wako wa kuelewa umeshautathmini? Ikiwa una uwezo wa kuelewa zaidi kuliko ulivyo uwezo wangu wa kuelewesha, basi sina shaka kwamba utaelewa tu with time!!!!
Kuandika ni kama kuongea... mtu akiandika ukaacha kumjibu ni sawa na kwamba ameongea halafu ukamnyamazia kimya..Sasa kama taifa linahitaji nguvukazi zetu, na huu na ubishi usio tija, mbona unaendelea kuuendekeza?
Kuandika ni kama kuongea... mtu akiandika ukaacha kumjibu ni sawa na kwamba ameongea halafu ukamnyamazia kimya... kwa maoni yangu, huu si uungwana ingawaje pale inapodi mtu anaweza ku-opt kukaa kimya kwani ndivyo inavyotokea hata kwenye real world... akina Mloka wana silika ya kuachia hadi wenzao waendeleze ubishi kwa kitu kilicho wazi... katika mazingira kama hayo, mwingine anaweza kuhitimisha kwa kuamua kuachana na ubishi usio na tija na wala haitatafsirika kwamba ni ukosefu wa uungwana kama ambavyo ingetafsirika hapo kabla!