Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

Niwe completely out of thread context wakati nimeshasema mleta mada ametia chumvi... alichosema sicho kilichoongelewa!!! Inaonekana wewe source yako ni mleta mada wakati mimi nimesikiliza hotuba A-Z!

Ndiyo maana nikasema uko out of context ya thread kama ilivyoletwa na mleta mada.

Pia, hujatoa ushahidi wowote kwamba alichosema Kikwete si alichoandika mleta mada.

Tutajuaje kwamba humtetei Kikqete tu?

Weka audio hapa.
 
Umeongeza chumvi, hajasema Afrika bali amesema Tanzania... kwamba, kwa sasa hakuna mwanamuziki Tanzania anayemzidi Diamond na huo ndio ukweli wenyewe, asiyetaka atuwekee tangible evidence na mapenzi ya moyo yanayosukumwa na emotions!

Unaniuliza nimetumia kigezo gani kusema unakubaliana na JK.

Ushasahau ulichoandika mwenyewe kama nilivyokunukuu hapo juu?
 
Ndiyo maana nikasema uko out of context ya thread kama ilivyoletwa na mleta mada.

Pia, hujatoa ushahidi wowote kwamba alichosema Kikwete si alichoandika mleta mada.

Tutajuaje kwamba humtetei Kikqete tu?

Weka audio hapa.
Sasa ni nani aliye out of context of thread? Kwanza, mie niliku-quote wewe na siku-quote thread... which means, nili-quote post na sio thread kwahiyo there's no way naweza kuwa out of thread context wakati nili-quote post! Pili, nashangaa unanidai ushahidi....

ya nini nihangaike kuleta ushahidi ikiwa inaelekea unaweza kuamini jambo bila ya ushahidi wowote?! Hiyo hoja ya mleta mada unayohishadadia haina ushahidi wowote lakini umeiamini... huoni busara ni kutaka ushahidi kutoka kwa mleta mada badala ya kuutaka kutoka kwa wachangiaji?
 
Sasa ni nani aliye out of context of thread? Kwanza, mie niliku-quote wewe na siku-quote thread... which means, nili-quote post na sio thread kwahiyo there's no way naweza kuwa out of thread context wakati nili-quote post! Pili,

nashangaa unanidai ushahidi.... ya nini nihangaike kuleta ushahidi ikiwa inaelekea unaweza kuamini jambo bila ya ushahidi wowote?! Hiyo hoja ya mleta mada unayohishadadia haina ushahidi wowote lakini umeiamini... huoni busara ni kutaka ushahidi kutoka kwa mleta mada badala ya kuutaka kutoka kwa wachangiaji?

You are hilarious.

Basically you are saying "Mie nipo Dar es salaam na sipo Tanzania, ukisema nipo Tanzania utakuwa umekosea kwa sababu niko Dar es salaam na kwa hiyo siwezi kuwa Tanzania".

Nani kakwambia nimemuamini mleta mada?

Kujibu thread katika context ya mada ilivyoletwa ni kumuamini mleta mada?
 
Unaniuliza nimetumia kigezo gani kusema unakubaliana na JK.


Ushasahau ulichoandika mwenyewe kama nilivyokunukuu hapo juu?
Hahahahahaaaa.... ulidhani nimesahau kwamba nimeandika nini... I knew it before kwamba hapo ndipo utakapokimbilia... my post was crystal clear:
Umeongeza chumvi, hajasema Afrika bali amesema Tanzania... kwamba, kwa sasa hakuna mwanamuziki Tanzania anayemzidi Diamond na huo ndio ukweli wenyewe, asiyetaka atuwekee tangible evidence na sio mapenzi ya moyo yanayosukumwa na emotions!
Kwahiyo kama hutaki, tuwekee tangible evidence ya kuthibitisha vinginevyo!! Sie wengine kusoma hatujui lakini picha ukutani tunaziona wazi wazi... na picha zenyewe ndizo hizi hapa: 3.jpg 2.JPG 1.jpg
 
Hahahahahaaaa.... ulidhani nimesahau kwamba nimeandika nini... I knew it before kwamba hapo ndipo utakapokimbilia... my post was crystal clear: Kwahiyo kama hutaki, tuwekee tangible evidence ya kuthibitisha vinginevyo!! Sie wengine kusoma hatujui lakini picha ukutani tunaziona wazi wazi... na picha zenyewe ndizo hizi hapa: View attachment 223595 View attachment 223596 View attachment 223597

Unakataa kwamba umekubaliana na JK kwa kuandika "huo ndio ukweli wenyewe"?
 
You are hilarious.

Basically you are saying "Mie nipo Dar es salaam na sipo Tanzania, ukisema nipo Tanzania utakuwa umekosea kwa sababu niko Dar es salaam na kwa hiyo siwezi kuwa Tanzania".

Nani kakwambia nimemuamini mleta mada?

Kujibu thread katika context ya mada ilivyoletwa ni kumuamini mleta mada?
hilarious ndio nini? kizungu changu hakijakaa vema lakini nina uhakika wa 100% kwamba umenielewa vinginevyo unataka kuleta ubishi usio na tija... taifa linahitaji nguvu kazi yetu badala ya kubishana mambo ambayo majibu yake yapo wazi!!!!!
 
hilarious ndio nini? kizungu changu hakijakaa vema lakini nina uhakika wa 100% kwamba umenielewa vinginevyo unataka kuleta ubishi usio na tija... taifa linahitaji nguvu kazi yetu badala ya kubishana mambo ambayo majibu yake yapo wazi!!!!!

Sasa kama taifa linahitaji nguvukazi zetu, na huu na ubishi usio tija, mbona unaendelea kuuendekeza?
 
Niwe completely out of thread context wakati nimeshasema mleta mada ametia chumvi... alichosema sicho kilichoongelewa!!! Inaonekana wewe source yako ni mleta mada wakati mimi nimesikiliza hotuba A-Z!
hakuna nilichotia chumvi hapo..nilikuwepo uwanjani jana usipotoshe thread..
 
Unakataa kwamba imekubaliana na JK kwa kuandika "huo ndio ukweli wenyewe"?
Ikiwa umeshindwa kunielewa kwa kitu kidogo kama hicho basi ni ama uwezo wangu wa kuelekeza ni mdogo au wa kwako wa kuelewa ni mdogo! Katika mazingira kama hayo, tutakuwa tuna-under utilize one of the most important resources, MUDA!

Nikiri wazi kwamba, binafsi uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo... upo kwenye super saturated point! Uwezo wako wa kuelewa umeshautathmini? Ikiwa una uwezo wa kuelewa zaidi kuliko ulivyo uwezo wangu wa kuelewesha, basi sina shaka kwamba utaelewa tu with time!!!!
 
Ikiwa umeshindwa kunielewa kwa kitu kidogo kama hicho basi ni ama uwezo wangu wa kuelekeza ni mdogo au wa kwako wa kuelewa ni mdogo! Katika mazingira kama hayo, tutakuwa tuna-under utilize one of the most important resources, MUDA! Nikiri wazi kwamba, binafsi uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo... upo kwenye super saturated point! Uwezo wako wa kuelewa umeshautathmini? Ikiwa una uwezo wa kuelewa zaidi kuliko ulivyo uwezo wangu wa kuelewesha, basi sina shaka kwamba utaelewa tu with time!!!!

Wewe unayekubaliana na JK kwa kusema "na huo ndio ukweli wenyewe" kwenye madai yake halafu ukakataa kwamba umekubaliana naye bila aibu ndiye mwenye matatizo ama ya kufikiri, ama ya kujielezea.
 
Sasa kama taifa linahitaji nguvukazi zetu, na huu na ubishi usio tija, mbona unaendelea kuuendekeza?
Kuandika ni kama kuongea... mtu akiandika ukaacha kumjibu ni sawa na kwamba ameongea halafu ukamnyamazia kimya..

. kwa maoni yangu, huu si uungwana ingawaje pale inapodi mtu anaweza ku-opt kukaa kimya kwani ndivyo inavyotokea hata kwenye real world... akina Mloka wana silika ya kuachia hadi wenzao waendeleze ubishi kwa kitu kilicho wazi...

katika mazingira kama hayo, mwingine anaweza kuhitimisha kwa kuamua kuachana na ubishi usio na tija na wala haitatafsirika kwamba ni ukosefu wa uungwana kama ambavyo ingetafsirika hapo kabla!
 
Kuandika ni kama kuongea... mtu akiandika ukaacha kumjibu ni sawa na kwamba ameongea halafu ukamnyamazia kimya... kwa maoni yangu, huu si uungwana ingawaje pale inapodi mtu anaweza ku-opt kukaa kimya kwani ndivyo inavyotokea hata kwenye real world... akina Mloka wana silika ya kuachia hadi wenzao waendeleze ubishi kwa kitu kilicho wazi... katika mazingira kama hayo, mwingine anaweza kuhitimisha kwa kuamua kuachana na ubishi usio na tija na wala haitatafsirika kwamba ni ukosefu wa uungwana kama ambavyo ingetafsirika hapo kabla!

You are contradicting yourself.

Unajipinga mwenyewe, hujui kamanunaemda au unarudi.

Mara mjadala hauna tija na tunapoteza nguvukazi tu.

Hapo hapo unarndelea kushiriki.

Amua moja, mjqdala hauna tija upotezee, au ukubali kwamba una tija uendelee kushiriki.

You can't eat your cake and still have it too.
 
Back
Top Bottom