Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

Fukara

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,625
Reaction score
928
Tukiwa tunaendelea na shamra shamra za kuadhimishwa miaka 38 ya CCM yanayofanyika kitaifa mkoani Songea ktk uwanja wa Majimaji na mgeni rasmi akiwa prof. Jakaya Mrisho Kikwete, Umati wa watu uliofurika uwanjani hapo maelfu ya watu yameibuka na shangwe na miruzi pale JK alipo sema "hakuna mwanamziki mkubwa AFRIKA kama DIAMOND PLATNUMZ".

Sio maneno yangu jamani.

CHANZO: MIMI MWENYEWE NILIKUWEPO
 
upadate:angalieni taarifa ya habari ya saa 2 usiku.
 
Hata mi nilikuwepo alivomrushia kopo diamond likamgonga mdomo domo likaongezeka mara mbili yake, hadi Zari akatoka nduki maana linatisha sana!
 
Madhara ya kula kisamvu kibichi ndio haya.
 
Fukara

mkubwa kwani diamond ana umri gani
 
Last edited by a moderator:
JK huwa anaongea vitu bila kushirikisha ubongo..alishawahi kusema maiti wa waliozama na meli zanzibar zitatambuliwa kwa kufanya DNA testing...
 
Back
Top Bottom