Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aWtasema siyo uzi wao maana vichwa vimezama kwenye makalio ya Lissunaona bavicha wamekimbia Uzi wao
Upo mkuu?Kwa mataifa ya nje wanaweza muona kikwete km kiongozi alieiongoza Tz kwa weledi mkubwa,lkn kw upande wa wananchi wngi wa Tz kikwete amekuwa mwiba unaowachoma ndg zake watz.
Yako mambo mengi maovu yaliyofanywa eidha kwa amri yake au watendaji wake aliowajaza jeuri ya kufanya maovu hayo.
Mf.ktk kipindi chake tu matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliongezeka Mara dufu hii ni kwa mujibu wa shirika la haki za binadamu
1.watu kupigwa wakati wakidai haki zao,eidha kwa maandamano au ktk vymbo vya hbr
2.mauwaji ya vikongwe na albino na kikwete hakuwahi fanya juhudi zzte kuwanusuru wala kukamatwa kwa wahusika zaidi ya kubambikizia watu kesi
Yako mengi mnaweza endelea Kutaja na mengine.
Ndiyo maana wakaitwa nyumbu!Bavicha hivi mna ubongo kweli?
Hawanaga aibunaona bavicha wamekimbia Uzi wao
Hebu pata picha Kama ICC wangefanyia kazi madai yao. Leo sijui wangesemajeNdiyo maana wakaitwa nyumbu!
Na ndio Hawa wanaosema maoni yao hayasikilizwi. Sasa watu wa aina hii unawezaje kusikiliza maoni yao?Tanzania kuna vituko!
Awepo? Huo ubavu hanaUpo mkuu?
Haya majamaa Chadema sijui huwa yanalewa nini. Yaani kuanzia viongozi hadi wanachama wao ni nyumbuCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa Chadema, John Mallya amesema Kikwete ameshitakiwa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na Mahakama ya kihalifu Uholanzi kwa sababu anatumia madaraka yake vibaya kutisha wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Mallya alisema kuwa Mashitaka hayo yameelekezwa Umoja wa Mataifa lakini pia nakala za tuhuma dhidi ya Kikwete zimepelekwa pia Umoja wa Afrika (AU) na Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita iliyopo The Hegue Uholanzi.
Kwa mujibu wa wakili huyo wa Chadema, barua hiyo ya tuhuma dhidi ya Kikwete imesainiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Abdallah Safari.
Mashataka haya yanakuja ikiwa ni miezi miwili tangu Rais Kikwete kuilamu Mahakama hiyo ya kihalifu kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika hawafurahii kwa namna ambavyo mahakama hiyo inavyofanya kazi zake kwa kuwashughulikia zaidi viongozi wa mataifa ya Afrika.
Kauli hiyo ya Rais Kikwete aliitoa jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano wa 16 wa Umoja wa Wanasheria wa Jumuiya ya Maendeleo ya Uchumi Kusini mwa Afrika-SADC,
Hiyo ilikuwa ni siku tu moja baada ya ICC kueleza kwamba inafuatilia mwenendo wa uchaguzi nchini Tanzania.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda, alikaririwa na vyombo vya habari vya Aljazeera na Gambia Today akisema kuwa Mahakama hiyo inatazama kwa umakini mkubwa yanayotokea Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu kama ilivyofanya katika nchi za Kenya, Ivory Coast na Congo na kwamba itachukua hatua za haraka kama kutakuwa na uvunjaji wa haki za binadamu.
Kauli hiyo ya Bensouda ilitanguliwa na ile iliyotolewa na mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.
Lowassa alilazimika kusema hayo katika ziara ya kutafuta wadhamini katika mikoa ya Arusha na Mwanza, Lowassa akilitahadharisha Jeshi la Polisi juu ya uwepo wa Mahakama ya ICC kutokana na kitendo chake cha kutumia nguvu dhidi ya wapinzani kwa kuupiga mabomu msafara wake.
Kabisa[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]ila hutu tu nyumbu twa ufipa nitwakuhurumia asee!
Ndio walivyo, vichwa vyao vimejaa kamasiHaya majamaa Chadema sijui huwa yanalewa nini. Yaani kuanzia viongozi hadi wanachama wao ni nyumbu
Safari hii wamekuja na stori ya Msatadam (Amstaderm) na ICC. Upuuzi mtupu.
Leo unamlilia jk?Tena lifungwe maisha kabsa hatutaki kuliona kwenye nch yetu
Ndio ujue hawa ndugu zetu ni tatizoHuu uzi unanichekesha sana unavyoenenda. Kuna watu wanaupita kama hawauoni hivi. Kweli aliyewaita nyumbu hakukosea.
Nakusalimu tuHureeeeeee hiyo imekaa poa sana .the hague by flight in cell
Leo unasemaje?wamfunge tu hamna nyingine
Hii kesi Ilifia wapi?CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango.