Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu eti siku hizi mnampenda, chandimu bwana aliyewaloga kashakufa kitambooo!Kwa mataifa ya nje wanaweza muona kikwete km kiongozi alieiongoza Tz kwa weledi mkubwa,lkn kw upande wa wananchi wngi wa Tz kikwete amekuwa mwiba unaowachoma ndg zake watz.
Yako mambo mengi maovu yaliyofanywa eidha kwa amri yake au watendaji wake aliowajaza jeuri ya kufanya maovu hayo.
Mf.ktk kipindi chake tu matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliongezeka Mara dufu hii ni kwa mujibu wa shirika la haki za binadamu
1.watu kupigwa wakati wakidai haki zao,eidha kwa maandamano au ktk vymbo vya hbr
2.mauwaji ya vikongwe na albino na kikwete hakuwahi fanya juhudi zzte kuwanusuru wala kukamatwa kwa wahusika zaidi ya kubambikizia watu kesi
Yako mengi mnaweza endelea Kutaja na mengine.
Bavicha huwa hawana ubongoKichaa huwa kinakawaida ya kujirudia rudia endapo mtu hakuweka umakini wa kwenye dozi
Kumbe kichaa hiki ni siku nyinge eeh!!!
Chadema mnaboa mno aisee
Duuh kumbe walianza huu upuuzi wa ICC siku nyingi..CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa Chadema, John Mallya amesema Kikwete ameshitakiwa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na Mahakama ya kihalifu Uholanzi kwa sababu anatumia madaraka yake vibaya kutisha wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Mallya alisema kuwa Mashitaka hayo yameelekezwa Umoja wa Mataifa lakini pia nakala za tuhuma dhidi ya Kikwete zimepelekwa pia Umoja wa Afrika (AU) na Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita iliyopo The Hegue Uholanzi.
Kwa mujibu wa wakili huyo wa Chadema, barua hiyo ya tuhuma dhidi ya Kikwete imesainiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Abdallah Safari.
Mashataka haya yanakuja ikiwa ni miezi miwili tangu Rais Kikwete kuilamu Mahakama hiyo ya kihalifu kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika hawafurahii kwa namna ambavyo mahakama hiyo inavyofanya kazi zake kwa kuwashughulikia zaidi viongozi wa mataifa ya Afrika.
Kauli hiyo ya Rais Kikwete aliitoa jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano wa 16 wa Umoja wa Wanasheria wa Jumuiya ya Maendeleo ya Uchumi Kusini mwa Afrika-SADC,
Hiyo ilikuwa ni siku tu moja baada ya ICC kueleza kwamba inafuatilia mwenendo wa uchaguzi nchini Tanzania.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda, alikaririwa na vyombo vya habari vya Aljazeera na Gambia Today akisema kuwa Mahakama hiyo inatazama kwa umakini mkubwa yanayotokea Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu kama ilivyofanya katika nchi za Kenya, Ivory Coast na Congo na kwamba itachukua hatua za haraka kama kutakuwa na uvunjaji wa haki za binadamu.
Kauli hiyo ya Bensouda ilitanguliwa na ile iliyotolewa na mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.
Lowassa alilazimika kusema hayo katika ziara ya kutafuta wadhamini katika mikoa ya Arusha na Mwanza, Lowassa akilitahadharisha Jeshi la Polisi juu ya uwepo wa Mahakama ya ICC kutokana na kitendo chake cha kutumia nguvu dhidi ya wapinzani kwa kuupiga mabomu msafara wake.
Aliyetoa taarifa kuhusu kufungua mashitaka huko ICC kwa sasa ni marehemu (RIP). Alikuwa mwandishi machachari sana asiyeficha mapenzi yake na chama fulani cha upinzani. Alijitokeza kwenye mijadala mbalimbali kwenye vyombo vya habari akitumia maneno makali dhidi ya serikali iliyoko madarakani lakini Mungu akamchukua mapema.Duuh kumbe walianza huu upuuzi wa ICC siku nyingi..
Unakumbuka hii? Au umesahau?Hureeeeeee hiyo imekaa poa sana .the hague by flight in cell
Wanao wa nyumbu hawawezi kukumbuka hii mada Sasa mbwatukaji nae anawaingiza mtoni yanafuata tu.Bavicha hivi mna ubongo kweli?
Hao jamaa kuwachota ni rahisi sanaDuuh kumbe walianza huu upuuzi wa ICC siku nyingi..
Kumbe haya mambo chadema walishayaanza zamani lakini huwa hawajifunzi. Big up Jf kwa kutunza kumbukumbu.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa Chadema, John Mallya amesema Kikwete ameshitakiwa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na Mahakama ya kihalifu Uholanzi kwa sababu anatumia madaraka yake vibaya kutisha wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Mallya alisema kuwa Mashitaka hayo yameelekezwa Umoja wa Mataifa lakini pia nakala za tuhuma dhidi ya Kikwete zimepelekwa pia Umoja wa Afrika (AU) na Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita iliyopo The Hegue Uholanzi.
Kwa mujibu wa wakili huyo wa Chadema, barua hiyo ya tuhuma dhidi ya Kikwete imesainiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Abdallah Safari.
Mashataka haya yanakuja ikiwa ni miezi miwili tangu Rais Kikwete kuilamu Mahakama hiyo ya kihalifu kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika hawafurahii kwa namna ambavyo mahakama hiyo inavyofanya kazi zake kwa kuwashughulikia zaidi viongozi wa mataifa ya Afrika.
Kauli hiyo ya Rais Kikwete aliitoa jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano wa 16 wa Umoja wa Wanasheria wa Jumuiya ya Maendeleo ya Uchumi Kusini mwa Afrika-SADC,
Hiyo ilikuwa ni siku tu moja baada ya ICC kueleza kwamba inafuatilia mwenendo wa uchaguzi nchini Tanzania.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda, alikaririwa na vyombo vya habari vya Aljazeera na Gambia Today akisema kuwa Mahakama hiyo inatazama kwa umakini mkubwa yanayotokea Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu kama ilivyofanya katika nchi za Kenya, Ivory Coast na Congo na kwamba itachukua hatua za haraka kama kutakuwa na uvunjaji wa haki za binadamu.
Kauli hiyo ya Bensouda ilitanguliwa na ile iliyotolewa na mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa.
Lowassa alilazimika kusema hayo katika ziara ya kutafuta wadhamini katika mikoa ya Arusha na Mwanza, Lowassa akilitahadharisha Jeshi la Polisi juu ya uwepo wa Mahakama ya ICC kutokana na kitendo chake cha kutumia nguvu dhidi ya wapinzani kwa kuupiga mabomu msafara wake.
Siyo kwamba huna hakika ila hujui unachoongea...unatuambia eti bunge ndilo lenye uwezo wa kupeleka mashtaka ICC sheria ya wapi hiyo.
Leo wanamlilia jkKumbe haya mambo chadema walishayaanza zamani lakini huwa hawajifunzi. Big up Jf kwa kutunza kumbukumbu.
Mwaka 2026 watamlilia JPM wakigaragara!Leo wanamlilia jk
KabisaMwaka 2026 watamlilia JPM wakigaragara!
Hizi ndio akili za makamandaKumbe 2015
Kuwaongopea bavicha ni rahisi sanaNa utashangaa bado hata hii 2020 kuna watu wazima kabisa wanaamini hizi porojo za ICC!