Elections 2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

Mallya naye....Kila siku kesi tu...

Hivi ile kesi ya kumshitaki Magufuli kutumia 'M4C' iliishia wapi?
 
Nimefurahi.Huu ni mwanzo mzuri.Well done UKAWA.
 
sifa ya kuwa shabiki wa chadema uwe na akili ya kiwendawazimu.
hizo ni dalili za kushindwa uchaguzi hakuna hoja naona wanataka kubadilisha cd baada ya kushindwa miaka yote chadema ni waleta fujo
 
safi sana tunaunga mkono mashtaka 'apelekwe akajibu vitisho alivyotoa sisi wananchi ametunyima haki yetu na amani ya kufanya maamuzi sahihi yasiyo ingiliwa na vitisho.
 
watanzania wengi ni wajinga wa kutupa.... eti tunaanza kushtakiana nje ya nchi si ujinga kabisa huu... hata wao ICC wanatushangaa kwa kweli...

mfia maji haachi kutapatapa

Sasa yeye vitisho anavyotoa ni vya nini?ICC ndio inawaweza hawa akina nkulunzinza
 
ICC sio solution ya matatizo ya ndani ya nchi, leo Kenya walichinjana baadae wakina Uhuru walipelekwa ICC lkn leo wamerudi wanaendelea na kazi. Vp wale waliokufa au kuumia kutokana na machafuko hayo nini wamepata au familia zao wamepata nini? Tambua nchi iliamua kujiunga kwa hiyari hivyo hivyo inaweza ikiamua kujitoa hakuna sehemu inaweza kulazimishwa mf. South Africa imeamua kujitoa pia Sudan, vp Omar Bashir sio tena Rais? Huyo anaendelea, Mallya usipotoshe watu wakapata madhara kwa kuwajengea kiburi wasiheshimu sheria za nchi husika.
Serikali inayo wajibu kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki pia Rais anaweza kutangaza hali ya hatari au kutoa amri itakayopelekea kurestore order, ndio maana vyombo vya ulinzi vina uwezo wa kutumia nguvu pale inapostahili. Acheni upotoshaji ICC haipo kwa ajili ya Watu walishindwa kufuata taratibu na sheria ya nchi husika. Haki yako ni kupiga kura kisha waachie mawakala na waangalizi wafanye kazi yao watakapomaliza matokeo yatabandikwa kituoni hivyo ni haki yako kuja kuyaona. Mipango yenu mibaya ambayo mnaipanga mkitaka kutumia "mob justice" kama cover ya kufanya uhalifu Serikali inaijua yote ndio maana imetoa agizo hilo ili wale wanaotaka kuleta fujo watambulike na wachukuliwe sheria stahiki. Hakuna haja ya kuwaletea wengine matatizo nenda mwenyewe ili ukileta fujo utambulike kweupe usipate utetezi kuwa ulifuata mkumbo.
Amani ya Tanzania kwanza, mengine baadae Mungu Ibariki Tanzania
 
Sasa yeye vitisho anavyotoa ni vya nini?ICC ndio inawaweza hawa akina nkulunzinza

hata hao wawndesha mashtaka wa ICC wawe wajinga kiasi gani hawawezi kumtuhumu JK kwa hilo labda afanye kosa jingine.

kwani tanzania hakuna mahakama.... mbona watz mnajivua nguo wenyewe..!
 



Wazungu huwa wakiwaangalia CDM na CUF wanawadharau sana alianza Seif kuwaambia wazuie misaada kwa Zanzibar akafanikiwa mwanzo lakini badae wakamdharau.

Sasa wameanza ujinga mwingine ICC haushitaki wewe CDM, Demokrasia hii imewalevya mnaropoka bila kufikiri mnatuaibisha

Mmeshindwa tayari, Kampeni zenyewe mnafanya za ujanja ujanja makao makuu ya mikoa na baadhi ya Wilaya hamjafika kabisa mtawezaje kushinda.


Mnatengeneza Mafuriko kuvuta Hisia za Watu hizi ni Kampeni za kizamani Sana, Ruanda Nzovwe Mbeya ni Uwanja mdogo sana kusema ni Historia imevunjwa

Aibu yenu.
 
Kweli naamin chadema hamna uwezo wa kuongoza nchi. Hivi kwann viongoz wenu hawaachi kulalamika?

Lakn acha tusubir tuone
 
Ni punguani pekee ndo anaweza asijue REPUTATION YA JK KIMATAIFA, jipeni moyo mazoba! Nadhani kuna midudu ya kiyahudi Tanzania isiyojua hata majukumu ya ICC
 
hata hao wawndesha mashtaka wa ICC wawe wajinga kiasi gani hawawezi kumtuhumu JK kwa hilo labda afanye kosa jingine.

kwani tanzania hakuna mahakama.... mbona watz mnajivua nguo wenyewe..!

Wewe mbumbumbu kweli, mahakama ya kumshtaki rais mwenye kinga?
 
Kunawatu mule chadema akili zao ziko mgongoni kama za panzi.
 

ubarikiwe mkuu. Umeongea mema yote mwenye maskio na asikie lakn na mpumbavu acha aendelee na upumbavu.
 
Wewe mbumbumbu kweli, mahakama ya kumshtaki rais mwenye kinga?

we nawe ndio walewale akili kama za huyo mallya... subiri uone kama mtafanikiwa...

hakunq mtu wa kusapoti huo ujinga aisee yaani viongozi wa cdm ni kulalamika kila kukicha kila jambo mnahisi mnaonewa sasa imekuwa kero hizo ni dalili za kushindwa.
 

Hivi JK angekuwa kama Paul Kagame ingekuaje? da ama kweli Tanzania inaonekana tuna hamu sana ya kupata kiongozi dikteta
 

Kwa sisi wenye akili tunajua chadema wanafanya siasa za kihuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…