Elections 2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

Kweli naamin chadema hamna uwezo wa kuongoza nchi. Hivi kwann viongoz wenu hawaachi kulalamika?

Lakn acha tusubir tuone
hapo kuna malalamiko yoyote. Hawa watu hawana mchezo watamwita uholanzi aanze kula kibano. hawatanii kabisa
 
Hivi kwa nini ccm mnavimatusi vya reja reja sana. Sababu nini.!?
 
Kikwete aliapa kuilinda katiba ya nchi na ya ccm na aliahidi kuongoza kwa kufuata sheria.
Kaongoza uvunjwaji wa katiba ya chama chake wkt wa kumpitisha mgombea urais. Sasa ameanza tena kuingilia na kuvunja sheria halali za kimataifa za uchaguzi. Eti sio kazi ya wananchi kulinda kura.
Sijuitumuweke kwenye kundi gani huyu rais wetu kipenzi.
MIMI NASEMA PIGA KURA LINDA KURA.
 
Ndo shida ya ccm zoo! Wote mnaakili za wanyama.
Kikwete aliapa kuilinda katiba ya nchi na ya ccm na aliahidi kuongoza kwa kufuata sheria.
Kaongoza uvunjwaji wa katiba ya chama chake wkt wa kumpitisha mgombea urais. Sasa ameanza tena kuingilia na kuvunja sheria halali za kimataifa za uchaguzi. Eti sio kazi ya wananchi kulinda kura.
Sijuitumuweke kwenye kundi gani huyu rais wetu kipenzi.
MIMI NASEMA PIGA KURA LINDA KURA.
 
Kwikwikwikwikwikwi kweli akili hamna,,sasa hapa mmeshitaki au mmepeleka umbeya?? Mbona mnachuki sana na JK, amewafanya nini mkwere wa watu mbona yupo poa tu,, ikulu hii mbona mnaitafuta kwa nguvu sana wajameni??? Ikulu hatuendi kwa nguvu hiyo???
 
Hamjawa tayari kupewa dola mkuu,, yaani mawakala wenu wananunulika??? sasa utawala wenu si ndio utakuwa balaa kwa rushwa,, maana wakala ni mtu muhimu sana kwenye uchaguzi, ina maana hivyo vyama vyenu havina wazalendo???
 
watanzania wengi ni wajinga wa kutupa.... eti tunaanza kushtakiana nje ya nchi si ujinga kabisa huu... hata wao ICC wanatushangaa kwa kweli...

mfia maji haachi kutapatapa

ICC is a toothless bulldog. Hata hivyo Kikwete is respected internationally. Hao chadema ndiyo wanaowatia wananchi hofu ili kuficha aibu yao Lowasa akishindwa. Tupige kura na tukubali matokeo. Rais Kikwete anaimarisha ulinzi ili wahuni wasituharibie Amani yetu.
 
Hamjawa tayari kupewa dola mkuu,, yaani mawakala wenu wananunulika??? sasa utawala wenu si ndio utakuwa balaa kwa rushwa,, maana wakala ni mtu muhimu sana kwenye uchaguzi, ina maana hivyo vyama vyenu havina wazalendo???

Kanunuliwa Professor Lipumba sembuse standard 7 level??

Siitaki ccm nitalinda kura yangu.
 
Huko ndio kunaitwa kutapatapa, mtaenda mpaka wapi, lakini nchi hamuipati, kama wapinzani wenyeweni hawa wapya akina mamvi,mr zero. nayule babu asiye meno etc, mjiandae upya 2020!
 
Aisee every move ya chadema inasababisha niichukie tu,think tanks wa CDM siku hizi ni Regina na mbowe
 
Huko ndio kunaitwa kutapatapa, mtaenda mpaka wapi, lakini nchi hamuipati, kama wapinzani wenyeweni hawa wapya akina mamvi,mr zero. nayule babu asiye meno etc, mjiandae upya 2020!

Dr Slaa ndiye angewakomboa sasa upinzani kwisha. Bahati haiji mara mbili.Tingatinga atarekebisha maovu yote ya ccm kwa urahisi baada makapi papa kuondoka. Yaliyobaki ndani yaanze kutubu na kurejesha Mali yetu.
 
Kweh! Kweh! Kweh! Mkwele, me siliongelei kwa sababu tayali lipo mahakamani.
 
hapo kuna malalamiko yoyote. Hawa watu hawana mchezo watamwita uholanzi aanze kula kibano. hawatanii kabisa

wamuite kwa makosa yapi? Mtakuja kudharaulika bure waka mashtaka yenu yanachambiwa na wafungwa vyyon
 
Kiongozi angekua kama Mbowe unachosema kingefanana, lakini CCM ni Waungwana umemuona JK anaaga kila mahali.

Lakini Chadema haiwezi kushinda Uchaguzi Kampeni zenyewe hovyo Kiongozi/Mgombea wenu hawezi kujieleza mpaka asemewe Wilaya na Majimbo mengi hajafika.

Pia kundi mlilolenga kuwapatia Kura ni walevi na hamjafanya Tafiti, huwezi kudai tu kwamba Vijana watawapigia Kura CDM, lazima uwachambue ni Vijana wa kundi gani miaka 18/25 au 25/35 au 35/45 ni kundi gani la Vijana.
 
Umekosa cha kuandika
Rudi shulen mwalim wako wa uraia akakufundishe kazi kubwa moja ya mahakama ya ICC
Usidanganye watu
tukwambie kwamba rais wa nchi hii hana kashfa hata moja ya uhalifu wa kivita.
 
Kwa hiyo mmewaanda Mawakala wenu kununuliwa na Membe, nyie wasemaji wa Chadema mbona hamueleweki? kujieleza tu hamuwezi Kesi mtashindaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…