Rais JK amsaliti mwl Nyerere


Naipenda sana Tanzania yangu na wasomi wake. Mara tu baada ya kufundishwa njia za kufanya tafiti, basi kila kitu lazina utasikia sampli ilikuwa na ukubwa gani na je imewakilisha jamii nzima!?

Mimi nafikiri tume iliwafikia watanzania kadhaa kwa kadri ya uwezo wake, muda uliokuwepo na gharama; na katika hao waliofikiwa zaidi ya asilimia 60 walipendekeza serikali tatu.
 
Maccm utayajua tu!
Umetumwa au?
Nyerere ni mtu kama watu wengine!
Anakosea, anakula anakunya!
Mambo ya kusema afutwe kwa yote alielekeza haiwezekani! Nasistiza HAIWEZEKANI!
Mwenyewe serikali ilimshinda na akaamua kumuachia Mwinyi!
 
Nakukubali, tunatakuongeza au kupunguza bajet ya serekali ambao ni mzigo kwa walipa kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…