Hiyo asilimia 60 ni ya wanachi wangapi?
Hii katiba tunayoitumia sasa hivi ilitungwa na wananchi wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo asilimia 60 ni ya wanachi wangapi?
Maoni ya watanzania wangapi? hiyo tume imefikia wananchi wangapi? unajua taratibu za kufanya research? walifanya sampling popoulation gani? kwa kutumia njia gani? siyo unaitisha watu 100 katika ya 100,000 unahoji 20 harafu unasema ni maoni ya watnzania wote.