Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

BRAIN BOX

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2021
Posts
387
Reaction score
317
Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari.

Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani.

Source: THE INDEPENDENT

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Fox News

Rais huyo wa Marekani alijikwaa mara mbili na kisha kuanguka alipokuwa akipanda ndege maalumu ya Rais wa Marekani Air Force One

Tukio limetokea Ijumaa katika uwanja wa ndege wa Joint Base Andrew Marekani

Taarifa zaidi ya tukio hilo pamoja na video tafadhali tembelea ukurasa rasmi wa Fox News
 
Hivyo vyombo vya habari vya mabeberu havina taarifa za kurusha eeeh!! Yaani mtu kujikwaa tu tayari ni habari ya ulimwengu mzima!! 😳
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Fox News

Rais huyo wa Marekani alijikwaa mara mbili na kisha kuanguka alipokuwa akipanda ndege maalumu ya Rais wa Marekani Air Force One

Tukio limetokea Ijumaa katika uwanja wa ndege wa Joint Base Andrew Marekani

Taarifa zaidi ya tukio hilo pamoja na video tafadhali tembelea ukurasa rasmi wa Fox News

Ingekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
 
Back
Top Bottom