Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Ingekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa, na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
Kuna mtu hapa Tanzania alikuwa hoi bin mahututi lakini wanasema yuko bize na mafaili. Mwisho wa siku kifo kimewaumbua.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aliyeiweka mtandaoni angekuwa jela saa hizi kwa kesi ya uchochezi au uhujumu uchumi.
Ingekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa, na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
 
Foxnews ilikuwa kituo kilichompigia debe Trump miaka yote. Kuhusu Biden wanajaribu kutangaza tangu miaka huyu ni mzee hana akili tena, hana nguvu, hawezi chochote ....
Kwa hiyo si ajabu wanapiga kelele iwezekanavyo
 
Kuanguka kumetokea baada ya Putin kumwambia nakutakia afya njema

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_0559.jpg
 
Wana bahati walimfungia Trump Twitter vinginevyo wangejuta leo
 
Back
Top Bottom