Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Fox News

Rais huyo wa Marekani alijikwaa mara mbili na kisha kuanguka alipokuwa akipanda ndege maalumu ya Rais wa Marekani Air Force One

Tukio limetokea Ijumaa katika uwanja wa ndege wa Joint Base Andrew Marekani

Taarifa zaidi ya tukio hilo pamoja na video tafadhali tembelea ukurasa rasmi wa Fox News
Mungu amtie nguvu!
 
😂😂! Kweli wameendelea... AyoTv njooni muone
 
Assuming it was in Bongo Mzee wa Mbeya angeshajitokeza hadharani na kujinadi kuwa muda mfupi amezungumza na meneja wa uwanja huo wa ndege na amemuhakikishia kuwa hakuna tukio kama hilo lilitokea😀😀
Pia akamalizia kwa kusema tumepokea kuanguka kwake kwa mikono miwili.
 
Back
Top Bottom