Mwaka wetu huu.Haaa mudawowote Harris anachukua nchi
Mshaanza nuksi hahahahHaaa mudawowote Harris anachukua nchi
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Fox News
Rais huyo wa Marekani alijikwaa mara mbili na kisha kuanguka alipokuwa akipanda ndege maalumu ya Rais wa Marekani Air Force One
Tukio limetokea Ijumaa katika uwanja wa ndege wa Joint Base Andrew Marekani
Taarifa zaidi ya tukio hilo pamoja na video tafadhali tembelea ukurasa rasmi wa Fox News