Ni vizuri Kama umewahi kujiuliza.
Tunapo chukua uamuzi wa kuingiza demokrasia katika taifa mambo ya msingi tunayo paswa kuzingatia:-
i, Watu/maamuzi ya watu
ii, Tamaduni
iv, Kiwango cha elimu au uelewa cha hiyo jamii kuhusu hilo swala
v, Hali ya kimaisha/ kimaendeleo ya hiyo jamii
vi, Historia ya jamii mahali ilipo toka, ilipo na inapo paswa kwenda
Kuna vitu vingi vya msingi tunavyo paswa kuzingatia kabla ya kuanzisha aina ya demokrasia katika taifa hivyo nilivyo orodhesha ni vichache kati ya vingi, njia ya kucopy aina ya demokrasia inaweza isifanye kazi nchi kwetu labda tujifunze ila sio kucopy.