ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Huo ndio moja wapo wa ubaya wa demokrasia ya magharibi hasa hasa mkiwa taifa changa na masikini wa kutupwa.Yes hata mimi naona hili pia limeikumba. Maana sasa hivi ni pinga pinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio moja wapo wa ubaya wa demokrasia ya magharibi hasa hasa mkiwa taifa changa na masikini wa kutupwa.Yes hata mimi naona hili pia limeikumba. Maana sasa hivi ni pinga pinga
Superpower..🇺🇸🇺🇸🇺🇸Mungu ibariki Marekani.
Mfano ni aliyevujisha taarifa za kuwepo kwa hizo documentsKama uko clean huna haja ya kuwa na wasiwasi.
Ila hata mimi naona demokrasia ya US kuna jinsi ilivyovurugika toka utokee mvutano kati ya republican na demos. Naona kama kuna kukomeshana fulani
Ingekua Tanzania rais angekua ameshang'olewa madarakani kitambo sanaTutafika lini walipo wenzetu.
Kwema wa kuu, Niko nimetulia kazini nafuatilia habari.Kwa wafuatiluaji wa habari za kimataifa watakumbuka siku si nyingi, Rais aliemaliza muda wake Donald Trump alivamiwa katika hoteli yake ya kifahari zilipo ofisi zake binafsi na FBI.
FBI walivamia izo ofisi baada ya kupata taarifa kuwa jamaa aliondoka na documents ambazo hakupaswa kuzichukua kutoka white house (CLASSIFIED DOCUMENTS) na walipofanya uchunguzi walibaini kua jamaa alikua nazo.
Mchezo umegeuka kwa rais wa sasa Biden ambae nae kakutwa na izo documents nyumbani kwake, mbaya zaidi yeye zimekutwa garage kwake(sehemu ya kupaki magari yake) waliozikuta ni ofisi/ Maktaba ya taifa ya kutunza nyaraka au kumbukumbu, FBI walitumwa kuhakikisha zinachukuliwa kwa usalama bila kuvuja.
Punde mwanasheria mkuu (AG) ametoka kufanya press hapa na waandishi wa habari na ameunda tume ya kumfanyia uchunguzi Biden.
Kwa upande wa Biden akiulizwa maswali hana majibu ya kueleweka sana sana anasema aliondoka na izo CLASSIFIED DOCUMENTS wakati akiwa makamu wa rais msimu Obama akiwa Rais.
Siasa za hawa jamaa ni za uwazi na uwajibikaji kwa makosa utakayo yafanya.
Je, ni lini sisi kama Nchi tutafika hatua hii.
------
Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Marekani Merrick Garland amemteua mchunguzi maalumu Robert Hur kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya rais Joe Biden yaliyoko Wilmington, Delaware.
Aidha mchunguzi huyoi atachunguza tukio la awali la kukutwa kwa nyaraka kama hizo za siri katika ofisi ya rais Joe Biden isiyokuwa na ulinzi iliyoko mjini Washington. Nyaraka hizo zinasadikika zilikuwepo kwenye ofisi hiyo tangu Biden alipokuwa makamu wa rais.
Katika tukio la kwanza, nyaraka hizo za siri zilipatikana wiki moja kabla ya uchaguzi wa katikati ya muhula wa mwaka uliopita, ambalo liliripotiwa na ikulu ya White House Jumatatu hii, hatua iliyoibua shutuma kutoka chama cha Republican, wakihoji sababu za kufichwa kwa taarifa hizo.
Kwenye ufichuzi huu wa karibuni, nyaraka hizo zimepatikana kwenye gereji ya nyumbani kwa Biden mjini Wilmington, Delaware, ambako mara nyingi huwa anakwenda kupumzika mwishoni mwa wiki, hii ikiwa ni kulingana na ikulu ya White House.
Mwanasheria huyo mkuu Garland amemteua Hur ambaye atachunguza iwapo kuwapo kwa nyaraka hizo kwenye makazi binafsi kunaweza kuwa kumekiuka utaratibu wowote wa kisheria. Garland anayeongoza wizara ya sheria, amesema anaamini kwa dhati kwamba mchakato huo wa kawaida unaoendeshwa na wizara yake utaifanya kazi hiyo kwa uadilifu.
China hakuna demokrasia lakini usifikiri viongozi wamepewa go ahead ya kujichotea tu mali za umma kule hukumu ya rushwa/ufisadi ni kunyongwa iyo haina cha Rais, waziri mkuu wala nani nani sijuiDemocrasia kichaa ndo maan china hawatak upuuzi huo
Kwani nini maana ya neno demokrasia ?China hakuna demokrasia
Tukifika hapa mniite popyTutafika lini walipo wenzetu.
Kwema wa kuu, Niko nimetulia kazini nafuatilia habari.Kwa wafuatiluaji wa habari za kimataifa watakumbuka siku si nyingi, Rais aliemaliza muda wake Donald Trump alivamiwa katika hoteli yake ya kifahari zilipo ofisi zake binafsi na FBI.
FBI walivamia izo ofisi baada ya kupata taarifa kuwa jamaa aliondoka na documents ambazo hakupaswa kuzichukua kutoka white house (CLASSIFIED DOCUMENTS) na walipofanya uchunguzi walibaini kua jamaa alikua nazo.
Mchezo umegeuka kwa rais wa sasa Biden ambae nae kakutwa na izo documents nyumbani kwake, mbaya zaidi yeye zimekutwa garage kwake(sehemu ya kupaki magari yake) waliozikuta ni ofisi/ Maktaba ya taifa ya kutunza nyaraka au kumbukumbu, FBI walitumwa kuhakikisha zinachukuliwa kwa usalama bila kuvuja.
Punde mwanasheria mkuu (AG) ametoka kufanya press hapa na waandishi wa habari na ameunda tume ya kumfanyia uchunguzi Biden.
Kwa upande wa Biden akiulizwa maswali hana majibu ya kueleweka sana sana anasema aliondoka na izo CLASSIFIED DOCUMENTS wakati akiwa makamu wa rais msimu Obama akiwa Rais.
Siasa za hawa jamaa ni za uwazi na uwajibikaji kwa makosa utakayo yafanya.
Je, ni lini sisi kama Nchi tutafika hatua hii.
------
Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Marekani Merrick Garland amemteua mchunguzi maalumu Robert Hur kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya rais Joe Biden yaliyoko Wilmington, Delaware.
Aidha mchunguzi huyoi atachunguza tukio la awali la kukutwa kwa nyaraka kama hizo za siri katika ofisi ya rais Joe Biden isiyokuwa na ulinzi iliyoko mjini Washington. Nyaraka hizo zinasadikika zilikuwepo kwenye ofisi hiyo tangu Biden alipokuwa makamu wa rais.
Katika tukio la kwanza, nyaraka hizo za siri zilipatikana wiki moja kabla ya uchaguzi wa katikati ya muhula wa mwaka uliopita, ambalo liliripotiwa na ikulu ya White House Jumatatu hii, hatua iliyoibua shutuma kutoka chama cha Republican, wakihoji sababu za kufichwa kwa taarifa hizo.
Kwenye ufichuzi huu wa karibuni, nyaraka hizo zimepatikana kwenye gereji ya nyumbani kwa Biden mjini Wilmington, Delaware, ambako mara nyingi huwa anakwenda kupumzika mwishoni mwa wiki, hii ikiwa ni kulingana na ikulu ya White House.
Mwanasheria huyo mkuu Garland amemteua Hur ambaye atachunguza iwapo kuwapo kwa nyaraka hizo kwenye makazi binafsi kunaweza kuwa kumekiuka utaratibu wowote wa kisheria. Garland anayeongoza wizara ya sheria, amesema anaamini kwa dhati kwamba mchakato huo wa kawaida unaoendeshwa na wizara yake utaifanya kazi hiyo kwa uadilifu.
Sema unachotaka kusemaKwani nini maana ya neno demokrasia ?
Hicho nilicho uliza nasubiri jibu lake toka kwako.Sema unachotaka kusema
Siwezi kukujibu ilo kwa maana ni swali la kitoto sana ambalo ulitakiwa uwe unalijua.Hicho nilicho uliza nasubiri jibu lake toka kwako.
Utoto wa hilo swali upo wapi ?Siwezi kukujibu ilo kwa maana ni swali la kitoto sana ambalo ulitakiwa uwe unalijua.
...sio lazima mifumo ifanane, mifumo mingi ipo na inaendana na uelewa, uelimikaji na uhalisia wa wananchi.! Hata huo mfumo wa Marekani japo ni mzuri ila sio sehemu zote utafanya kazi kwa kupata matokeo +ve.!Dikteta Putin hawezi kuundiwa tume, yeye ndo yesu wa warusi