Rais Joe Biden kuchunguzwa baada ya kukutwa na Nyaraka za Siri Nyumbani kwake

Yes hata mimi naona hili pia limeikumba. Maana sasa hivi ni pinga pinga
Huo ndio moja wapo wa ubaya wa demokrasia ya magharibi hasa hasa mkiwa taifa changa na masikini wa kutupwa.
 
Kama uko clean huna haja ya kuwa na wasiwasi.
Ila hata mimi naona demokrasia ya US kuna jinsi ilivyovurugika toka utokee mvutano kati ya republican na demos. Naona kama kuna kukomeshana fulani
Mfano ni aliyevujisha taarifa za kuwepo kwa hizo documents
 
Ingekua Tanzania rais angekua ameshang'olewa madarakani kitambo sana
 
Democrasia kichaa ndo maan china hawatak upuuzi huo
China hakuna demokrasia lakini usifikiri viongozi wamepewa go ahead ya kujichotea tu mali za umma kule hukumu ya rushwa/ufisadi ni kunyongwa iyo haina cha Rais, waziri mkuu wala nani nani sijui
 
Tukifika hapa mniite popy
 
Dikteta Putin hawezi kuundiwa tume, yeye ndo yesu wa warusi
...sio lazima mifumo ifanane, mifumo mingi ipo na inaendana na uelewa, uelimikaji na uhalisia wa wananchi.! Hata huo mfumo wa Marekani japo ni mzuri ila sio sehemu zote utafanya kazi kwa kupata matokeo +ve.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…