Rais John Magufuli, karibu Morogoro kwa Chifu King'alu Mwana wa Chifu Msumi

Rais John Magufuli, karibu Morogoro kwa Chifu King'alu Mwana wa Chifu Msumi

Bango lako limejaa madini njaa na fitna. Ungeamua moja tupe madini historia basi, Mara umeweka cv na simu ili utafutwe[emoji1436]‍[emoji3603][emoji1436]‍[emoji3603][emoji1436]‍[emoji3603][emoji1436]‍[emoji3603]
Jamaa yupo kimkakati Ila changamoto anayokumbana nayo ni kukosa ushawishi kwenye Jamii.

Kwa anachokiandikaga humu jamvini hata hao anaowasifia wanamwona Hana Haiba ya Uongozi anaoutafuta Kwa nguvu zote.
 
Na Lile Kundi Lake Sasa Hivi Wanahaha Kutapika Cash Waliyoipiga Kwenye Vizimba
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji3]
Nakwambia sipati picha polisi na takukuru walivyowatia kashkash...oooh Haika poleee
 
Mtu akianza kuamini majoka ya vichwa saba, radi inataga mayai, matetemeko yanatokana na nyoka kujigeuza, chooni kuna majini, kwenye maporomoko ya maji yanakaa mashetani nk ni wakukaa naye mbali, asije akakuambukiza ujinga.
 
Morogoro ilikuwa Halmashauri Mwaka 1928 kabla ya Dar es Salaam, mpaka leo Morogoro ilitakiwa iwe imeshatoka kwenye Uhalmashauri na kuwa Jiji
 
Back
Top Bottom