Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

Mazezeta wengi sana nchi hii.
 
Kwan
Kwani kagame ndo umeona mjanja kwa hizo safari?
 
Tulizoea rais wetu sio wa safari za kula bata kama kiwete. Ingefaa kila rais akisafiri nje tuambiwe kasafiri na watu wangapi na kiasi gani cha pesa zimetumika. Na pia tuambiwe faida ya safari hiyo.
Huku mitandaoni tumeona tayari watu wanawazomea waliyokua wasaidizi wa jpm eti walikosa kula bata kwa kusafiri nje.
 
Sipingi Kusafiri hata Mtu akiamua kubaki huko huko safarini, cha maana ni return inayopatikana kwenye hizo safari.., as of now kila kilichopatikana kingeweza kufanyika hata kwenye landline (let alone ZOOM)
 
Tungepata wapi TZS 1.15BL za bure?
 
 
Bwana wee akipumzika sasa, aende hata uarabuni basi. Utalii.com, huku wajanja wanakula nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…