Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
______

Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa mifano halisia,

Hoja za kubishaniwa ni Mbili tu
1. Ziara za Rais zinafuja pesa ya Umma
2. Ziara za Rais zinafungua nchi

Nimekupa jumla ya ziara za rais wa nchi inayopigiwa mfano kwa maendeleo ya kasi zaidi barani Africa iliyoko Africa Mashariki yaani RWANDA

UWEKEZAJI WA NJE RWANDA (FDI)
______________

Tuangalie uwekezaji wa nje FY2018|19

Mwaka 2017|18 Uwekezaji wa nje wa Rwanda yaani FDI ulifikia $ 0.382BL sawa na Tshs 840.2BL

Tuangazie pia uwekezaji Wa nje FY2018|19
• Mwaka 2018|19 Wakati Rais Kagame anaenda nje X59 nchi ya Rwanda ilipokea uwekezaji toka nje ( Foregh Direct Investment -FDI wa $ 0.91BL karibu sawa na Tshs 2trilioni, hii ni sawa na ongezeko la uwekezaji wa nje kwa Tshs 1.2trilioni ambazo ni sawa na 143%,
Inaitwa the more You go the more You get.

||Kagame Safari 59, faida ya Safari ni uwekezaji wa Tshs 1.2trl ,Je Safari ni faida au hasara?! Jibu waambie na wenzako wanaopinga ziara za Rais nje

• Pamoja na CORONA, Mwaka 2018|19 Wakati wawekezaji wakikimbilia kuwekeza kwenye kanchi kenye watu wasiozidi 12M Sisi Tanzania wenye watu zaidi 60m tuliambulia uwekezaji wa nje yaani FDI ya $1.1BL karibu Tshs 2.2trilioni na hawa niwale waliojilita wenyewe tu,

• Nchi yenye ukubwa kama mkoa wa Tabora inapata uwekezaji karibu sawa na Tanzania,Shida ilikuwa nani awafuate wawekezaji, Mwekezaji akifuatwa na Rais wa nchi anakuwa na assurance kubwa kuliko akifuatwa na Waziri,Kwa Ufafanuzi huu wanaopenda kuelewa mtakuwa mmeelewa umuhimu wa ziara za Rais nje ya nchi

• Nimwenye roho ya kimasikini tu ndio anawaza gharama za rais kusafiri nje badala ya kuwaza uwekezaji wa matrilioni na mabilioni tutakaoupata kama matokeo ya ziara za Rais nje,Ukitaka kula lazima uliwe in JK voice

Yule hakutoka ndio maana tulipata kiduchu | Huyu anatoka kama wenzake mwacheni tutapata chochote kitu

View attachment 1945274

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
How much you export? Do u know BOP?
 
Mwamba unanyookaga balaaa,
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Sisi sio Rwanda, hatuwezi kuendelwza kwa ku copy yafanyikayo Rwanda
Kagame muoga kusafiri akikaa huko anaweza kuta nchi siyo yake tena!! ataambiwa bwane wee geuka!!! geuka!! Ntaryamira alijifanya mjanja baada ya kupewa onyo RPF Ya kagame mnajua kilichomkuta!!

Kagame anajua kuwa ukiua kwa upanga jiandae kufa kwa upanga sasa nyie watu aende huko hajipendi kwani?? nawauliza! lkn Bongo wewe lala kabisa huko hata mwaka nchi itaenda tu!! Kazi ya moshi wa Mwenge wa uhuru haijawahi kukosea kitu!

Siku ikitokea Rais kichaa mmoja aukatae Mwenge wa uhuru, ndo mwanzo wa machafuko Tanzania! msiifute hii kauli yangu!! na mtanikumbuka!
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Kama CCM wangemchagua Samia Suluhu kuwa mombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.

Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.

Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK.
 
Hakika tungekuwa mbali sana
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
______

Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa mifano halisia,

Hoja za kubishaniwa ni Mbili tu
1. Ziara za Rais zinafuja pesa ya Umma
2. Ziara za Rais zinafungua nchi

Nimekupa jumla ya ziara za rais wa nchi inayopigiwa mfano kwa maendeleo ya kasi zaidi barani Africa iliyoko Africa Mashariki yaani RWANDA

UWEKEZAJI WA NJE RWANDA (FDI)
______________

Tuangalie uwekezaji wa nje FY2018|19

Mwaka 2017|18 Uwekezaji wa nje wa Rwanda yaani FDI ulifikia $ 0.382BL sawa na Tshs 840.2BL

Tuangazie pia uwekezaji Wa nje FY2018|19
• Mwaka 2018|19 Wakati Rais Kagame anaenda nje X59 nchi ya Rwanda ilipokea uwekezaji toka nje ( Foregh Direct Investment -FDI wa $ 0.91BL karibu sawa na Tshs 2trilioni, hii ni sawa na ongezeko la uwekezaji wa nje kwa Tshs 1.2trilioni ambazo ni sawa na 143%,
Inaitwa the more You go the more You get.

||Kagame Safari 59, faida ya Safari ni uwekezaji wa Tshs 1.2trl ,Je Safari ni faida au hasara?! Jibu waambie na wenzako wanaopinga ziara za Rais nje

• Pamoja na CORONA, Mwaka 2018|19 Wakati wawekezaji wakikimbilia kuwekeza kwenye kanchi kenye watu wasiozidi 12M Sisi Tanzania wenye watu zaidi 60m tuliambulia uwekezaji wa nje yaani FDI ya $1.1BL karibu Tshs 2.2trilioni na hawa niwale waliojilita wenyewe tu,

• Nchi yenye ukubwa kama mkoa wa Tabora inapata uwekezaji karibu sawa na Tanzania,Shida ilikuwa nani awafuate wawekezaji, Mwekezaji akifuatwa na Rais wa nchi anakuwa na assurance kubwa kuliko akifuatwa na Waziri,Kwa Ufafanuzi huu wanaopenda kuelewa mtakuwa mmeelewa umuhimu wa ziara za Rais nje ya nchi

• Nimwenye roho ya kimasikini tu ndio anawaza gharama za rais kusafiri nje badala ya kuwaza uwekezaji wa matrilioni na mabilioni tutakaoupata kama matokeo ya ziara za Rais nje,Ukitaka kula lazima uliwe in JK voice

Yule hakutoka ndio maana tulipata kiduchu | Huyu anatoka kama wenzake mwacheni tutapata chochote kitu

View attachment 1945274

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Kagame kaiunganishia Rwanda ile biashara ya Arsenal na PSG ya Visit Rwanda. Leo hii Messi anavaa jezi yenye maneno yanayomkaribisha mtu Rwanda.

Kagame ni genious kwa maana halisi. Mama kufanya Royal Tour wajuaji wa Tanzania wakaanza kuchonga midomo kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom