Nikupe faida chache za baadhi ya safari tisa za Rais Samia ,
Alipokwenda Uganda alienda kubatilisha Mkataba wa bomba la mafuta uliokuwa unaendelea baina ya Rais Museni na Rais Uhuru Kenyatta na akafanikiwa kuurudisha mikononi mwetu,
1.Mradi huu wa bomba la mafuta unathamani ya $15BL karibu Tshs 33trl hizi pesa kwa kiasi kikubwa zitawanufaisha Watanzani,
2. Mradi huu utaajiri watu elfu 10
3. Tanzania itapata gawio katika kila pipa la mafuta likalosafirishwa,
HII NI SAFARI MOJA TU YA RAIS SAMIA
_____________________________________