ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
GoodRais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,
miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000
Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Uache kusifia sana watakuoa sasaTanzania ya Samia ni noma,
Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
We umeshachoka kuimba mapambioUache kusifia sana watakuoa sasa
Hongera sana Rais wetuRais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59|Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je,Niushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
________________________________
Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa mifano halisia,
Hoja za kubishaniwa ni Mbili tu,
1. Ziara za Rais zinafuja pesa ya Umma,
2. Ziara za Rais zinafungua nchi,
Nimekupa jumla ya ziara za rais wa nchi inayopigiwa mfano kwa maendeleo ya kasi zaidi barani Africa iliyoko Africa Mashariki yaani RWANDA.
UWEKEZAJI WA NJE RWANDA ( FDI)
_________________________________
Tuangalie uwekezaji wa nje FY2018|19.
Mwaka 2017|18 Uwekezaji wa nje wa Rwanda yaani FDI ulifikia $ 0.382BL sawa na Tshs 840.2BL ,
Tuangazie pia uwekezaji Wa nje FY2018|19
• Mwaka 2018|19 Wakati Rais Kagame anaenda nje X59 nchi ya Rwanda ilipokea uwekezaji toka nje ( Foregh Direct Investment -FDI wa $ 0.91BL karibu sawa na Tshs 2trilioni, hii ni sawa na ongezeko la uwekezaji wa nje kwa Tshs 1.2trilioni ambazo ni sawa na 143%,
Inaitwa the more You go the more You get,
||Kagame Safari 59, faida ya Safari ni uwekezaji wa Tshs 1.2trl ,Je Safari ni faida au hasara?! Jibu waambie na wenzako wanaopinga ziara za Rais nje ||
• Pamoja na CORONA, Mwaka 2018|19 Wakati wawekezaji wakikimbilia kuwekeza kwenye kanchi kenye watu wasiozidi 12M Sisi Tanzania wenye watu zaidi 60m tuliambulia uwekezaji wa nje yaani FDI ya $1.1BL karibu Tshs 2.2trilioni na hawa niwale waliojilita wenyewe tu,
• Nchi yenye ukubwa kama mkoa wa Tabora inapata uwekezaji karibu sawa na Tanzania,Shida ilikuwa nani awafuate wawekezaji,Mwekezaji akifuatwa na Rais wa nchi anakuwa na assurance kubwa kuliko akifuatwa na Waziri,Kwa Ufafanuzi huu wanaopenda kuelewa mtakuwa mmeelewa umuhimu wa ziara za Rais nje ya nchi,
• Nimwenye roho ya kimasikini tu ndio anawaza gharama za rais kusafiri nje badala ya kuwaza uwekezaji wa matrilioni na mabilioni tutakaoupata kama matokeo ya ziara za Rais nje,Ukitaka kula lazima uliwe in JK voice,
Yule hakutoka ndio maana tulipata kiduchu | Huyu anatoka kama wenzake mwacheni tutapata chochote kitu,
Rwanda Development Board registers US$ 1.3 billion worth of investments in 2020 - Official Rwanda Development Board (RDB) Website
The Rwanda Development Board (RDB) registered investments worth US$ 1.3 billion in 2020, a decrease of 47.1% from the previous year. In 2019, RDB registered investments worth US$ 2.46 billion. The decline in investments was attributed to the COVID-19 pandemic that affected the global economy...rdb.rw
View attachment 1945274
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Wanafanya vizuri mkuuMbona mnapenda kujilinganisha na Rwanda🇷🇼?
Yaani kila kitu Rwanda, Kagame
Nafurahi kuona CCM yangu ya Zamani ya hoja inarudi kwa kasi,
Siasa ni hoja kwa hoja,
Awamu hii Chadema mtajua hamjui,
Hebu wafunde weweKwa kweli kuna kila sababu ya wazee wa CCM asilia kuwafunda hawa UVCCM wa miaka ya 2000, namna ya kufanya "propaganda" yenye hoja.
Mkuu Pohamba , FaizaFoxy na johnthebaptist ,tafadhalini wafundisheni hao vijana wenu juu ya ujengaji wa hoja.
Sijawahi kuwa CCM na nusu karne yangu niliyopo hapa duniani, hivyo mimi si mzee wa CCM.Hebu wafunde wewe
TuaChie nchi yetu• Pamoja na CORONA, Mwaka 2018|19 Wakati wawekezaji wakikimbilia kuwekeza kwenye kanchi kenye watu wasiozidi 12M Sisi Tanzania wenye watu zaidi 60m tuliambulia uwekezaji wa nje yaani FDI ya $1.1BL karibu Tshs 2.2trilioni na hawa niwale waliojilita wenyewe tu,
kwanini mkuuBinadamu hatuna jema...
Hahhaa kuna nini mkuuTuaChie nchi yetu
Kwanini, Mbona WB, AfDB, IMF wanaifanisha na Tanzania na nchi nyinginezo za dunia,Huwezi kuifananisha Tz na Rwanda andiko lako limekosa uhalali na uhalisia kuanzia hapo tu
Hajui ni ngumu kumuelewesha, ila mwambia Rwanda wanatengeza magari tayari,Kwanini, Mbona WB, AfDB, IMF wanaifanisha na Tanzania na nchi nyinginezo za dunia,
😍😍😍Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59|Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je,Niushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
________________________________
Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa mifano halisia,
Hoja za kubishaniwa ni Mbili tu,
1. Ziara za Rais zinafuja pesa ya Umma,
2. Ziara za Rais zinafungua nchi,
Nimekupa jumla ya ziara za rais wa nchi inayopigiwa mfano kwa maendeleo ya kasi zaidi barani Africa iliyoko Africa Mashariki yaani RWANDA.
UWEKEZAJI WA NJE RWANDA ( FDI)
_________________________________
Tuangalie uwekezaji wa nje FY2018|19.
Mwaka 2017|18 Uwekezaji wa nje wa Rwanda yaani FDI ulifikia $ 0.382BL sawa na Tshs 840.2BL ,
Tuangazie pia uwekezaji Wa nje FY2018|19
• Mwaka 2018|19 Wakati Rais Kagame anaenda nje X59 nchi ya Rwanda ilipokea uwekezaji toka nje ( Foregh Direct Investment -FDI wa $ 0.91BL karibu sawa na Tshs 2trilioni, hii ni sawa na ongezeko la uwekezaji wa nje kwa Tshs 1.2trilioni ambazo ni sawa na 143%,
Inaitwa the more You go the more You get,
||Kagame Safari 59, faida ya Safari ni uwekezaji wa Tshs 1.2trl ,Je Safari ni faida au hasara?! Jibu waambie na wenzako wanaopinga ziara za Rais nje ||
• Pamoja na CORONA, Mwaka 2018|19 Wakati wawekezaji wakikimbilia kuwekeza kwenye kanchi kenye watu wasiozidi 12M Sisi Tanzania wenye watu zaidi 60m tuliambulia uwekezaji wa nje yaani FDI ya $1.1BL karibu Tshs 2.2trilioni na hawa niwale waliojilita wenyewe tu,
• Nchi yenye ukubwa kama mkoa wa Tabora inapata uwekezaji karibu sawa na Tanzania,Shida ilikuwa nani awafuate wawekezaji,Mwekezaji akifuatwa na Rais wa nchi anakuwa na assurance kubwa kuliko akifuatwa na Waziri,Kwa Ufafanuzi huu wanaopenda kuelewa mtakuwa mmeelewa umuhimu wa ziara za Rais nje ya nchi,
• Nimwenye roho ya kimasikini tu ndio anawaza gharama za rais kusafiri nje badala ya kuwaza uwekezaji wa matrilioni na mabilioni tutakaoupata kama matokeo ya ziara za Rais nje,Ukitaka kula lazima uliwe in JK voice,
Yule hakutoka ndio maana tulipata kiduchu | Huyu anatoka kama wenzake mwacheni tutapata chochote kitu,
Rwanda Development Board registers US$ 1.3 billion worth of investments in 2020 - Official Rwanda Development Board (RDB) Website
The Rwanda Development Board (RDB) registered investments worth US$ 1.3 billion in 2020, a decrease of 47.1% from the previous year. In 2019, RDB registered investments worth US$ 2.46 billion. The decline in investments was attributed to the COVID-19 pandemic that affected the global economy...rdb.rw
View attachment 1945274
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Rwanda iko juu sana kwa sasaHajui ni ngumu kumuelewesha, ila mwambia Rwanda wanatengeza magari tayari,
watu Hawaii hiliRwanda iko juu sana kwa sasa
DuuhJPM alikua hajui kingereza