Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

Kagame yuko vizuri Sana, Sio mbaya kumtolea mfano
 
Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.

Kagame Alishamwambia Kikwete point blank " KUWA KAMA RWANDA WANGEKUWA NA BANDARI YA DAR ES SALAAM KUSINGEKUWA NA HAJA YA WAO KUHANGAIKA KWENDA NJE KUOMBA MISAADA!" Mkwere Akaona ametukanwa kumbe alikuwa anaambiwa ukweli Kuwa anakalia uchumi wake pale bandarini!

Hata Hangaya anahangaika hovyo kuvaa ngozi eti anavutia watalii; anachotakiwa kufanya ni kuziba mianya ya hao watu wake wanaoiba mabillioni ya shilling huko kwenye malipo ya miradi yenu ya kimkakati!! Kila siku gharama za miradi zinapanda kwa ufisadi [ COST OVERRUNS] wa wasaidizi wake!! Imagine kama kwenye kujenga meli tu wizi ulikuwa hivyo mpaka Hangaya kupagawa,Je huko kwenye bwawa la Nyerere na SGR wizi ni wa kiwango gani?
 
Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.
Umewahi kukanyaga ardhi ya Rwanda??
Kuna timu za Ulaya kila wakivaa jezi wnaitambulisha Rwanda duniani.
Watalii wanaifahamu Rwanda kuliko wanavyoijua Serengeti au Zanzibar.
Kuna mahali hatuko sawa.
Tukome kuijenga ccm.
Tuanze kuijenga nchi yetu!
 
Kagame yuko vizuri Sana, Sio mbaya kumtolea mfano
Kagame yupo vizuri kwenye kuitangaza Rwanda. Imefikia kipindi mabaya yote ya Rwanda yamefutika!
Mabaya ya kwetu ndo kwanza yameshika kasi...
 
Tutafika tu
 
Too theoretical
 
1. Hakuna haja ya kuanza kuchukua mfano wa Kagame wala yeyote
2. Safari za Rais nje ni Wajibu ( asiposafiri anakuwa hawajibiki) na ni Haki yake (Mkuu wa nchi ni Mwanadiplomasia no.1; anakaribishwa na pia ana haki ya kupanga kuzuru Nchi nyingine kwa ajili ya nchi yake hususan, kukuza diplomasia ya uchumi. Pia ana uhuru wa kusafiri kwenda nje ya nchi kama raia ambaye hajazuiwa hata kwa mapumziko kama ulivyo na uhuru huo.
 
Umewahi kukanyaga ardhi ya Rwanda??
Kuna timu za Ulaya kila wakivaa jezi wnaitambulisha Rwanda duniani.
Watalii wanaifahamu Rwanda kuliko wanavyoijua Serengeti au Zanzibar.
Kuna mahali hatuko sawa.
Tukome kuijenga ccm.
Tuanze kuijenga nchi yetu!
Unayohoja mkuu wangu
 
Kagame wa Nyoko! Antuhusu nini hadi umtolee mfano kwetu? Akili ndogo kama hii ya kwako, unatawaliwa hata na ngiri.
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Umewahi kukanyaga ardhi ya Rwanda??
Kuna timu za Ulaya kila wakivaa jezi wnaitambulisha Rwanda duniani.
Watalii wanaifahamu Rwanda kuliko wanavyoijua Serengeti au Zanzibar.
Kuna mahali hatuko sawa.
Tukome kuijenga ccm.
Tuanze kuijenga nchi yetu!
Nchi hii, sehemu kubwa ya bajeti ya serikali, inakwenda CCM. Makatibu wakuu hata hazina yetu inapewa amri na kuchota pesa kurudishwa makao makuu ya CCM. Hilo ndo balaa la nchi.
 
Nchi hii, sehemu kubwa ya bajeti ya serikali, inakwenda CCM. Makatibu wakuu hata hazina yetu inapewa amri na kuchota pesa kurudishwa makao makuu ya CCM. Hilo ndo balaa la nchi.
Unao ushahidi?
 
Chapa kazi Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…