Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
kha ndo wanaogopa kumkaba!,ili imekaa vizuri anaupiga mwingi.Hii hapa vdo clip yake.
GENTAMYCINEPopoma huu uzi atauruka tuu hawezi kutia mguu
Unamjua Edgar Davis?Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Yule jamaa napenda sana kuona minyukano yake hapa Jf...🤣🤣Mkuu naona unaufanyia kazi uchonganishi.
😀 😀 😀 😀
Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Siku hizi ameokoka anasema hataki tena matatizo JF kaushukuru na uongozi wa JF bila shaka walitaka wamtumbue mazima.Yule jamaa napenda sana kuona minyukano yake hapa Jf...🤣🤣
Hivi kutokea mlimani kule watu hawawezi fanya yao kama wanajua Rais yupo hapo? au Rwanda amani tele siku hizi!Hii hapa vdo clip yake.
Usalama wa hilo eneo ulisha hakikiwa toka kitambo tu.Hivi kutokea mlimani kule watu hawawezi fanya yao kama wanajua Rais yupo hapo? au Rwanda amani tele siku hizi!
Unamjuwa Edgar Davids?
Inaonekana mambo ya soka yamekupita kushoto sana,haya nenda ukamgoogle mchezaji wa Dutch Edgar Davids,tuanzie kwa huyo tu kwanza.Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Vipi kuhusu Edgar Davids wa Uholanzi mbona alikuwa anavaa miwani!Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Very funHii hapa vdo clip yake.
Hata Seedorf alivaa.Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.