Rais Kagame akicheza Soka wakati wa ufunguzi wa uwanja wa mpira Kigali Pele

Rais Kagame akicheza Soka wakati wa ufunguzi wa uwanja wa mpira Kigali Pele

Uliona wapi mtu anacheza football na miwani ya kusomea vitabu hahahaha halafu kajamaa kana mironjo bora kangevaa track tu.
Usikute hata dakika 10 hakumaliza😂😂
 
Umri umeenda, jua lishazama may be ungemkuta enzi zake msituni usingeamini.
 
Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?

Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Unamjua edga davis au unaongea alivaa miwani na alikiwasha aswa huko ulaya
 
Wote mlioponda mr.tall man nawahakikishia mngekuwa rwanda kesho kungekuwa na maombelezo kwenye majumba yenu..🤣🤣
 
Back
Top Bottom