Rais Kagame akicheza Soka wakati wa ufunguzi wa uwanja wa mpira Kigali Pele

Rais Kagame akicheza Soka wakati wa ufunguzi wa uwanja wa mpira Kigali Pele

Madikteta waigizaji wazuri sana wanapenda sana kujifanya watu wa watu kuna mmoja alikuwa akitembea na begi la hela kuwagawia watu huku akiwatukana "unataka kupanuliwa wapi" au "baki na mavi yako"
 
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Una uhakika? Kulikuwa na kiungo hatari wa Ac Milan ya Italy, na timu ya Taifa ya Uholanzi Edgar Davids! Alikuwa anakinukisha na miwani yake uwanjani, mwanzo mwisho.

Na alikuwa ana matatizo kweli ya macho.
 
Back
Top Bottom