National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Walikatazwa kumkoba 😅😅Hii hapa vdo clip yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikatazwa kumkoba 😅😅Hii hapa vdo clip yake.
Edgar Davis wa Juventus Alisha vaa miwani wakati Akicheza miaka kadhaa iliyopita.Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Hujamuona ediga davids???Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Kwa haraka haraka hapo namuona JJ Okocha na Ronaldo de LimaHii hapa vdo clip yake.
popoma mpuuzi sana . yeye anajua kila kituPopoma huu uzi atauruka tuu hawezi kutia mguu
Tatizo letu watu watefu wembamba...paja la ndege hilo sasa🤣🤣Wadau hamjamboni nyote
Mheshimiwa Rais wa Rwanda Paul Kagame akicheza Soka ndani ya uwanja mpya wa Soka wa “KIGALI PÉLE STADIUM”View attachment 2553372
🤣🤣Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Edgar Davis humjui eeh!?Huo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Umezaliwa lini wewe hadi useme hivoHuo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Wajeda huku afrika mashariki mchezo ni kandandaHaters ila naona ana ufahamu wa kucheza mpira.
Una uhakika? Kulikuwa na kiungo hatari wa Ac Milan ya Italy, na timu ya Taifa ya Uholanzi Edgar Davids! Alikuwa anakinukisha na miwani yake uwanjani, mwanzo mwisho.Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Peter Crouch na Luke Chadwick unawafahamu?Hii miguu sio ya boli kabisaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio wakina nani haoPeter Crouch na Luke Chadwick unawafahamu?
Vijiti..Hii miguu sio ya boli kabisaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ingia YouTube utawakutaNdio wakina nani hao