Edgar Davis alishavaa miwaniHuo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.
Siku akifa ndipo congo itakuwa na amani
AANGALIE VILONJO VISIVUNJIKE.
Yaani mi ningeingia na miguu miwili kumkaba alafu tuone hizo fito zake ingekuwaje😂😂Kuna mtu atadiriki kumkaba!!! 🤣
Usikute hata dakika 10 hakumaliza😂😂Uliona wapi mtu anacheza football na miwani ya kusomea vitabu hahahaha halafu kajamaa kana mironjo bora kangevaa track tu.
Acha basi Angel Di maria si sampuli ya kagameHii miguu sio ya boli kabisaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa watu mna manenoMiguu kama fito za kujengea banda la sungura
Yeye kakoleza uliotaka kuzimikaMbona hata kabla ya kagame Congo ilikuwa haina amani?
Kuna mtu kakatwa Buti na mh kaishia kumuangalia na kuchekaHii hapa vdo clip yake.
View attachment 2553392
Unamjua edga davis au unaongea alivaa miwani na alikiwasha aswa huko ulayaHuo uwanja unachukua mashabiki wangapi?
Mchezaji wa kwanza duniani kucheza football akiwa amevaa miwani.