Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
kwani magufuli ni lazma amponheze kenyatta...wacheni upumbavu...akae na pongezi zake yule dikteta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Mkenya huwa unastress sana maana you are very bitter and angry for no any apparent reason.kwani magufuli ni lazma amponheze kenyatta...wacheni upumbavu...akae na pongezi zake yule dikteta...
And the list continues....... who is the next?[emoji12]
On behalf of myself.And the list continues....... who is the next?[emoji12]
And the list continues....... who is the next?[emoji12]
watu hawafanani...kisha nashangazwa na wanaosema eti magu ni lazma ampongeze kenyatta...bila shaka pongezi za magu hazitatusaidia na chochote...east africa's most advanced economy moving forwardWe Mkenya huwa unastress sana maana you are very bitter and angry for no any apparent reason.
Kuna Yule MK54 jamaa yuko very humble, informative and kind and a lil bit aggressive akiwa provoked tu nadhani ni kwa sababu ameishi Tanzania for a while.
Cmon get it together men and take it easy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2015 mara baada ya Magufuli kutangazwa mshindi tu, Uhuru Kenyatta aliandika Twitter ya Kumpongeza, na hakuishia hapo tu, hata siku ya kuapishwa Magufuli, Uhuru Kenyatta alikuja Tanzania kushuhudia hayo.Kwani Kipindi magufuli anachukua nchi...Uhuru alimupongeza baada ya kutangazwa mshindi wa uraisi papo kwa papo...?
Kunywa maji mengi ili tusipate shida tukihitaji urine! hahahaOn behalf of myself.
![]()
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Mkuu mkitusaidia kumng'oa huyu dikteta itakuwa poa sana aisee! Tusaidieni jamaani jirani zetuu twaumiaaakwani magufuli ni lazma amponheze kenyatta...wacheni upumbavu...akae na pongezi zake yule dikteta...
Tatizo lenu ni Chuki na Ukabila....Oooh by the way nilisahau na Bomba la mafuta kutoka Uganda mpaka Tanzania.kwani magufuli ni lazma amponheze kenyatta...wacheni upumbavu...akae na pongezi zake yule dikteta...
Mkuu mkitusaidia kumng'oa huyu dikteta itakuwa poa sana aisee! Tusaidieni jamaani jirani zetuu twaumiaaa
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Mwaka 2015 mara baada ya Magufuli kutangazwa mshindi tu, Uhuru Kenyatta aliandika Twitter ya Kumpongeza, na hakuishia hapo tu, hata siku ya kuapishwa Magufuli, Uhuru Kenyatta alikuja Tanzania kushuhudia hayo.