Rais Kagame ampongeza Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta

kwani magufuli ni lazma amponheze kenyatta...wacheni upumbavu...akae na pongezi zake yule dikteta...
We Mkenya huwa unastress sana maana you are very bitter and angry for no any apparent reason.

Kuna Yule MK54 jamaa yuko very humble, informative and kind and a lil bit aggressive akiwa provoked tu nadhani ni kwa sababu ameishi Tanzania for a while.

Cmon get it together men and take it easy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And the list continues....... who is the next?[emoji12]

On behalf of myself.
And the list continues....... who is the next?[emoji12]
a3266c14853dd32c5779fcefe2e78c26.jpg

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
We Mkenya huwa unastress sana maana you are very bitter and angry for no any apparent reason.

Kuna Yule MK54 jamaa yuko very humble, informative and kind and a lil bit aggressive akiwa provoked tu nadhani ni kwa sababu ameishi Tanzania for a while.

Cmon get it together men and take it easy.

Sent using Jamii Forums mobile app
watu hawafanani...kisha nashangazwa na wanaosema eti magu ni lazma ampongeze kenyatta...bila shaka pongezi za magu hazitatusaidia na chochote...east africa's most advanced economy moving forward
 
Kwani Kipindi magufuli anachukua nchi...Uhuru alimupongeza baada ya kutangazwa mshindi wa uraisi papo kwa papo...?
Mwaka 2015 mara baada ya Magufuli kutangazwa mshindi tu, Uhuru Kenyatta aliandika Twitter ya Kumpongeza, na hakuishia hapo tu, hata siku ya kuapishwa Magufuli, Uhuru Kenyatta alikuja Tanzania kushuhudia hayo.
 
Umoja wa Kenya, Uganda na Rwanda ndani ya EA umekufa tangu aondoke Jk maana sasa Tanzania imeichagua Rwanda kuwa ndie Mwalimu wake wakat enzi za Jk ilibidi Nchi hizo tatu zijiunge ili kukabiliana nasi baada ya kugubdua The Sleeping Giant of EA was awake!
 
Kwani Trump ametweet? Magufuli ni pillar ya East Africa ndio mana mnapata homa na tweet yake, asubuhi asubuhi badala ya kudeal na wakwepa kodi na majizi ya nchi hii ampapatikie Uhuru? I don't think so.
 
kwani magufuli ni lazma amponheze kenyatta...wacheni upumbavu...akae na pongezi zake yule dikteta...
Mkuu mkitusaidia kumng'oa huyu dikteta itakuwa poa sana aisee! Tusaidieni jamaani jirani zetuu twaumiaaa

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Tatizo lenu ni Chuki na Ukabila....Oooh by the way nilisahau na Bomba la mafuta kutoka Uganda mpaka Tanzania.
 
Mkuu mkitusaidia kumng'oa huyu dikteta itakuwa poa sana aisee! Tusaidieni jamaani jirani zetuu twaumiaaa

Pogba wa tz nchi imekushinda!

Kama familia yenu ilivyomshinda baba yako, hana budi kung'olewa kuongoza familia..
 
Mwaka 2015 mara baada ya Magufuli kutangazwa mshindi tu, Uhuru Kenyatta aliandika Twitter ya Kumpongeza, na hakuishia hapo tu, hata siku ya kuapishwa Magufuli, Uhuru Kenyatta alikuja Tanzania kushuhudia hayo.

Si kweli, Uhuru alinyamaza kimya.

Back
Top Bottom