Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Kwa nini huwa anatishia wakati wa akina Kikwete na Samia tu? Hajawahi kuropoka wakati wa Mkapa na JPM, jiulizeni.
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Samahani mkuu 'LOTH HEMA', kwa maana haya maneno nayasema kwa maumivu moyoni makubwa.Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Umekwisha igana ha o na kuwamaliza wote!Afrika mashariki na kati HAKUNA nchi yenye uwezo wa kupigana na.Tanzania, hakuna
Ni nafuu mara mia kuwa "useless" kama unavyo sema, kuliko kushabikia GENGE la Samia, na yeye mwenyewe.useless citizen
Bora Kagame ainyakue Tanzania ili na sisi wadanganyike tupate maendeleo ya kweli.
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Mhhhh! Rwanda yenyewe si ksma Wilaya ya Kwimba tu😅😅😅😅

Sijui kwanini watu wako too emotional and thoughtless, single sided minds ,linapokuja suala la Rwanda. Nasoma comments, najiulizaaaaa nakosa majibu. Why???Kwani Watanzania sio wengi Rwanda?
Siku hizi kuna drone hizo military personnel na manguvu sio kivileRwanda nchi ya kiboya sana, na haina uwezo wa kupambana na tz hata kwa dakika 5 tumewazid kila.idara katika medani vifaa vya kisasa
Idadi ya military personnel
Hakuna kitu hakuna kitu wanaweza fanya akitaka ajaribu aisiwe kama usa kuingea ongea
Barua famba hiyoHuyo nduo DALALI wa SIRAHA zenu🖕🖕🖕
Anao wengi tu.
Haya yote hayatokei kwa bahati mbaya.
View attachment 3397731
View attachment 3397726
Muziki upi Singeli au?Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Uchaguzi ambao mshindi anajulikana hizo hela zingeenda kujenga lami tuMshenzi Huwa anaongea shit akijua nchi imeconcentrate kwenye uchaguzi,anajua hakuna wa kumzingatia
Wewe utakuwa ni mdogo wake Kafulila, mkimshauri mama aanze kubinafsisha jeshi letu!Sio issue kabisa hata kwenye drone, ukiwa na central command ukawaweka wachina 10 wanatosha kabisa kuipa joto Rwanda
Kwa bahati mbaya hataweza, kwa sababu yuko saiti; kule vijana wanako tengeneza kokoto ,Natamani Mkuu wa majeshi ajibu
Endelea kuamini hivyo. Jeshi la Tanzania halijawahi kupata misuko suko miaka mingi sana hivyo naamini hata mbinu mpya za kwenye field hawana.Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Hapa mkuu umenena Tanzania kama Ina Inteligensia nzuri....watoe msaada Kwa jeshi la Burundi FDRl Kisha wapige wakitokea huko iwe kama BaseKinchi kama Rwanda siyo kakupigana nako Tanzania ikifunga mipaka yake,Warundi na FDLR wakapewa tafu ataomba pooooo mapema sana mnamkuza mno huyu fododido.
Anajua na ana maanisha anachokiongea. Ameshapandikisha watu wake wa kutosha ndani ya serikali na CCM.