Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Ongezea kagame amesema kuna watu wanapenda kwenda kujifanya kujenga Congo wakati nchi zao ni za ajabu , Wana rasilimali lakini wananuka rushwa na ufisadi kila sehemu
Kama kweli kayasema haya basi jamaa mipasho sana kama mwanamke.. mwanaume tena mjeshi na kuongozi wa nchi hawez kuwa mpumbavu kiwango hichi
 
Huyu afya yake imeshapata nafuu?.
 
Mmmh hawezi aisee, kwanza logistic itakuwa ni changamoto kwao, sana sana waishia kuiteka kagera kwa muda, ila in the long run, tutawapiga kwa war of attrition sababu kwanza wao ni land locked country, na ndo utakuwa mwisho wa Kagame

Logistic sio shida. Kagame na Kabarebe walimpindua Mobutu mwaka 1997 wakati DRC ilikuwa hivyo kwa miundo mbinu na kubwa kuliko Tanzania.
 
Ila juzi mmekimbia vita kwa kusachiwa mbele ya camera. I support Rwanda
KIJITI KAGAME ni mgonjwa hawezi kupigana na yeyote.

Amiri jeshi gani shati linapepesuka, anataka akijifia asingizie kauliwa na Samia. Kajinga kale!

Mwambie ajifie huko huko, akijaribu kuleta chelewa zake Tanzania tutambinya haswaaa!
 
Jamaa bado ana hasira na JK....anamtafuta sana.
 
Iran mara ya mwisho kupigana vita lini!?
Ila Israel Kila mwaka yeye Yuko vitani,muulize Israel kilimkuta nini alipoigusa Iran iliyokaa zaidi ya miaka 30 bila kupigana.
 
Umeongea uongo mwingi sanaaaa mkuu humu ndani. Uongo mwingi mnoooooo.
 
Waambie wajaribu kuleta choochoko

Nyie ndio mlipeleka chokochoko DRC ili mkampindue Kagame mwisho wa siku mkatekwa wote na kuwekwa kwenye kambia. Kagame anagekuwa katili kama nyie angewaua wote. Sema amewaachia Sasa hivi mnajiongelesha.
 
Logistic sio shida. Kagame na Kabarebe walimpindua Mobutu mwaka 1997 wakati DRC ilikuwa hivyo kwa miundo mbinu na kubwa kuliko Tanzania.
Tanzania imeamua tu kwa makusudi kuachana na huyo Kagame tunayo mengi ya kwenye ilani za uchaguzi tunahangaika nayo.

Rwanda ni ndogo kuliko mkoa wa Tabora au Morogoro, pia hatuna watu wengi wenye hulka za kitutsi za kujikweza na kuwatazama walio wengi kwa mtazamo wa dharau na dhihaka, tulishatoka huko kitambo sana.
 
Nyie ndio mlipeleka chokochoko DRC ili mkampindue Kagame mwisho wa siku mkatekwa wote na kuwekwa kwenye kambia. Kagame anagekuwa katili kama nyie angewaua wote. Sema amewaachia Sasa hivi mnajiongelesha.
Bado yupo hai huyo mzee? alipotea miezi kadhaa uvumi ukasema keshaaga dunia huko Brussels.
 
Kagame kasema, kama wale majeshi ya SADC wasingejishusha angewashushia kipigo kikali na kupukutisha wote!
Anaongea tu huyo,kuna muda jamaa ni kama muimba taarabu tu.
Ashukuru SADC hawakuenda na silaha zao zozote nzito,unadhani South Africa angeleta Air supremacy yake pale Kivu kuna M23 au askari yeyote wa Rwanda angesalia??
Tuache utani aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…