Rwanda??? Tulio-ndani ya mfumo tunaelewa! Haitachukua siku 3 Rwanda kusahaulika.
Kwa mujibu wa takwimu jeshi linalotukaribia ni Uganda,then kenya hiyo Rwanda hata kwa kambi ya monduli haitoboi.
Hakuna kitu kilichohodhiwa na CCM nchi hii ambacho hakijafa. Jeshi letu kwa sasa ni vikaragosi vya CCM na ndo mana wanapitia haya yote ya kudhalilishwa na Jeshi la Rwanda na kufeli mission ya Congo.Tuliza wenge Jeshi ni taasisi nyingine kabisaa na ipo makini na weledi wakutosheleza!
Takwimu zilipo ni makini na zimefanyiwa analysis ya hali ya juu! Endelea kucomment na hizo akili za vijiweni.
Una uhakika gani Mkuu kama intelijensia imekufa!?Vita ni:
- Intelligence (Imekufa)
- Raia wako wa kawaida na (Umoja wa zamani haupo)
- Allies (Washirika) ( Washirika wa Kagame vs Wa Kwetu????
- Wanajeshi ( hawa tunao, ingawa wengime wa nchi za Kagame)
- Silaha/Teknolojia (Yoyote ananunua tu)
Nyingine mbwembwe tu zisizo na kichwa wala miguu
Hakuna mahala nimesema hayoKwamba kuwa. Fisadi na nchi Yako kuwa masikini ndio uzalendo
Iko wazi.Una uhakika gani Mkuu kama intelijensia imekufa!?
Kwasasa tuna RAIA, CCM na Wapinzani.Una uhakika gani kama raia wa Tanzania hawatosimama kutetea taifa lao?
Mnywaranda ni Mnywaranda tu, nyingine ni stori tu.Hivi unajua kama Rwanda wahutu wanamchukia Kagame hadi sasa!?
Moja ya kitumcha muhimu kutatua tatizo ni kukiri kuwa UMEKWISHA maana rasha rasha zipo.Kuhusu wanajeshi wakuu wenyewe ndio wanafahamu wapi pako sawa wapi panavuja.
Kuhusu silaha Tanzania Ina silaha nyingi tu za kisasa za kupambana na nchi yeyote ukanda huu ukitaka tunaweza kuzijadili.
Hatari sanaBila Tanzania Kagame asingefika popote!. Anachofanya Kagame kwa sasa dhidi ya Tanzania ni kile wanachosema kwa lugha ya kinyarwanda ( pia Kirundi,kiha,kihangaza na kishubi ) ya kwamba : " UMUYOVU UMUVURA AMASO,BUKEYE AKAYAKUKANURIRA!".
au kwa kiswahili " shukrani za punda ni mateke".
Rwanda wanafanya human intelligence hapa Bongo/HUMINT, sina uhakika lakini huyu mfanya biashara wa TZ kuwa na mahusiano na aliyekuwa miss Rwanda hii ni honey trap...Mkuu, Tz na Tiss hazipo kama zamani lakini si dhaifu kihivyo kama unavyodhani.
Rwanda wakianzisha vita na Tanzania ndo itakuwa mwisho wao tutaongea mkoa mpya Tanzania.Vinchi vidogo Acha kabisa.
Kijapani Vs Lichina
Kiingereza Vs quarter of world.
Now kirwanda Vs Litanzania.
Hapa naona kipondo kinakuja.Kigoma yote itachukuliwa na wanyarwanda
Wanaweza kua wengi lakini wakaazi lakini hawapo kwenye mifumo yao..Kwani Watanzania sio wengi Rwanda?
Si ndo muendelezo wa kujivua ushost na USATume ban kutumia Dollar kwenye miamala ya ndani ya uchumi
unaongea ujingaNdio kauli zenu nyie maccm na machawa wao, mkishavimbiwa supu na sambusa ambazo mmenunua kwa pesa mlizowaibia watanganyika, huwa mnaropoka tu maneno hata kwenye mijadala serious.
Siku zenu zinahesabika.
we nae tafuta maisha kila sku unalalamikaga tuNi nafuu mara mia kuwa "useless" kama unavyo sema, kuliko kushabikia GENGE la Samia, na yeye mwenyewe.
Swali zuri namimi nasubiri majibu..haha vipi khs it? kwa maana dunia ya leo bila ya it hautoboi, hayo mambo ya sijui monduli ya zamani sana, tuko vp kwenye hiyo sekta ya it ? …
Tena maman'tilie 😎.Na wewe unavyoona Kagame anaweza kumuogopa Mama kweli?
kura za chadema zitoke wap sasa 🤣 🤣 chama kishajifia kinatafuta tu sehem ya kupoteza ushahidiUtashamgaa na kiingereza chako cha gongo. Unawategemea chipukizi wa CCM ndio wapambane na jeshi lililo vitami Kwa miongo 3 sasa.
Wewe endelea kuiba kura za chadema na kufunga wazalendo basii
Mkuu, yanayoendelea Palestine, Iran, Israel, Ukraine na Russia yanatufumbua macho kutuonesha sisi bado tupo nyuma saana ktk medani za kivita za sasa.Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mabomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Umeongea kweli hapa, khs mfanyabiashara ,hiyo kitu nilioona ,ukizingatia mfanyabiashara yuko karibu sana na uagizajiRwanda wanafanya human intelligence hapa Bongo/HUMINT, sina uhakika lakini huyu mfanya biashara wa TZ kuwa na mahusiano na aliyekuwa miss Rwanda hii ni honey trap...
Russia ilitumia sana hizi mbinu za warembo/romeo spies kupata siri walizozitaka..
Kwenye HUMINT kama hujui moja ya mbinu inayotumika na idara nyingi za kiusalama kupata taarifa ni pamoja na kutengeneza urafiki na wafanya biashara wa silaha..
Hio ni honey trap au infiltration ya human intelligence kwa nia ya kufikia taarifa za ndani za ulinzi na manunuzi ya silaha za Tanzania....
Kama huyo mfanya biashara ana nafasi nyeti, then ni possible point of infiltration.. hivyo kwa hili jambo kutokea public tena kwenye social media hii ina maana kwamba idara ya usalama ni kama imesinzia usingizi... kwa maana contractor hakupewa taarifa mapema kuhusu masuala ya honey trap...
Anapewa taarifa na uelewa kuhusu honey trap, anapewa training thabiti na channel rahisi ya kuripoti, hivyo anachukua tahadhari mapema... Kila mtu mwenye access nyeti anatakiwa asaini security clearance forms zinazomtaka kuripoti mahusiano ya raia wa kigeni...
Watu kama hao lazima idara inafanya lifestyle audit mara kwa mara...
Kama idara ingekuwa makini unavyosema huyo mfanya biashara asingeanza kutumiana messages za mapenzi hadharani vile, lazima angeogopa kufutwa kwa license yake ya biashara ya silaha...
Hio ni ishara ndogo kwamba tumelala sana...
NonsenseUrusi ina kipi cha kufundisha sasa? Silaha zake ndo watu wanazikimbia saivi wanaenda kununua silaha za uturuki.
Uimara wa Urusi saivi ni Nyuklia tu sio silaha nzuri za kivita. Yeye mwenyewe anasaidiwa na North Korea vita ya Ukraine saivi.