100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mkuu, yanayoendelea Palestine, Iran, Israel, Ukraine na Russia yanatufumbua macho kutuonesha sisi bado tupo nyuma saana ktk medani za kivita za sasa.
Mimi nasema kila siku humu, tukipata mpinzani kama Rwanda, Uganda, Kenya huko Ethiopia, Angola, Misra n.k tusithubutu hata kidogo, hawahawa jirani zetu, endapo tukawapiga basi watatuachia kovu zito saaaana.
Zitto baada ya kutoka chadema alitaka kujiunga na CCM, kwa maelezo yake mwenyewe Zitto alisema Kikwete na marehemu filikunjombe ndio walimshauri asijiunge na ccm, badala yake ndio akaanzishwa ACTLete ushahidi kama ACT ni tawi la CCM!?
Nimeshampa hoja,kama unataka kujadili hoja njoo kiheshima na kwa kutoa hoja,ukija kijinga utajibiwa kwa namna uliyokuja.
Lissu asinge kubali angeongoza majeshi mpaka Kigali, Tansania ya leo haina mpango na vita tulisha pigana kitambo sana,imetosha kwa sasa tunajenga nchi.Inasikitisha sana 😂
Kwahiyo watauza code?Yuko sahihi. Nchi kama Tanzania tumewekeza kwenye chama na kuona Wana CCM ndio wazalendo. Kwahiyo ikitokea vita na Rwanda hasa wakitumia utaratibu uliotimika na Israel kuipiga Iran ni siku mbili Tanzania inaweza pigwa.
Haya ni maoni yangu tumethamini sana chama kuliko taifa. Ule utaifa uliokuwepo sasa hakuna maana Kuna watu kupitia CCM wanafaidi na familia zao na watu wao wa karibu.
Mziki wa Tanzania kwa kigezo gani sasaHuyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Kwan ww sio mtusi na mjinga mwenye asili ya Rwanda??Mimi nilisha wambia humu Rwanda anaweza kuitandika Tanzania wengine wakasema mimi ni mtusi eti 😆 😂
Mtu si jiwe unajua huu msemo?Hiyo mikwara tu mkuu,kwa anayemjua huyo hapati shida.
Kipindi cha Jakaya alipiga mikwara sana aisee,JAKAYA akampiga mkwara wa askari wa mpakani kwa paredi akaufyata.
Juzi tu hapo, tumetoka kwenye mashambulizi makali ya Wakenya dhidi ya Rais na Bunge.Una uhakika gani kama raia wa Tanzania hawatosimama kutetea taifa lao?
Vita haijawahi kuwa rahisi hivyo, unaijua budget ya Russia ukubwa wake kulinganisha na Ukraine?? Je imekua rahisi kwa Russia kushinda?Tukiamua Leo kupigana na Rwanda tunaua tu Budget ya Tamisemi ambayo ni 11 trillion ndio Budget nzima ya nchi ya Rwanda.
Wizara moja tu inabeba Budget ya Nchi nzima
Rwanda is overated
Kagame huyo hata hakuna Wakumjibu Ni kichaaa wacha aongee tu
Huu mfano sio relevant, kwa kuwa tuliwahi kushinda vita huko nyuma tafsiri yake tutashinda vita yoyote iliyo mbele yetu? Unamaanisha hata leo hii Egypt au South Africa au hata Iran wakipigana vita na sisi basi tutashinda tu sababu huko zamani hatukuwahi kushindawa?Lini TPDF imepigana vita ikashindwa ndio ukapata conclusion!!?
Kule kongo walienda kulinda amani sio kupigana na waasi!!
Utapigana bila kupewa command ya kupigana!!?
Wale uliowaona walikua wametumwa kulinda amani na sio kupigana na waasi!!
Amani tulio nayo tunadhani ninudhaifu,laiti tungejua kazi inayofanywa na tpdf hapa nchini Wala tusinge beza amani yetu!!
"KAZI na utu tunasonga mbele"
ini
Usiseme wanyarwanda sema watutsi we kabila moja linahodhi kila kitu halafu useme eti nchi hiyo ina uzalendo. Uzalendo upo ila wa kikabilaKwa taarifa yako ni kwamba hapa afrika mashariki hakuna watu wanaolipenda taifa lao na wana uzalendo wa hali ya juu kama wanyarwanda, mnyarwanda tu akizaliwa na kukulia hapa tanzania anakuwa na mahaba kupitiliza kwa Rwanda, sembuse yule aliyezaliwa na kukulia kigali.
Wanyarwanda wanaweza kuwa wametafunwa na ukabila, ila linapokuja suala la kitaifa wanakuwa wamoja,.
Hali hiyo ni tofauti kabisa na nyie wabongo ambao uzalendo mmeshauua siku nyingi sana na ndio maana mada za kuliombea mabaya taifa kama hii zimeshamiri sana.
Muda ni mwalimu mzuri kaka,muda utasema.Mtu si jiwe unajua huu msemo?
Sasa mwenzenu yuko sambamba na teknolojia yuko mbele hatua kumi kutoka wakati huo nyie mmerudi nyuma hatua kumi
Na hata mawazo yenu yamestaki kulekule kwa enzi za jakaya
Ameshaanza Congo,Uganda tayari,Burundi tayari naona bado Tanzania tu.Huyu huwa sijui anataka kupima east Africa aone nani ana ubavu, jamaa anaonesha akiendelea ataanza kumega maeneo ya majirani zake akipata nguvu ya jeshi
Kagame hana smartness yeyote,ni dikteta tu ambaye anajificha kwenye uongozi hadi sasa.Mziki wa Tanzania kwa kigezo gani sasa
Watu wengi ambao ni mazwazwa wakisikia taarifa fulani kubwa kuhusu Rwanda huwa wanaishusha thamani kwa kigezo cha square meter za eneo la nchi yao
Bila kuangalia wanyarwanda ni nani hasa
tukisema wanyarwanda tunamaana image yao imebebwa na kiongozi wao wa nchi
Miongoni mwa watu wachache sana smart sana aliyepata kuishi ukanda huu
Na jeshi lake ndiyo msingi mkuu wa taifa lake analitegea jeshi kuliko kitu chochote unachoweza kukifikiria
Sasa jiangalie wewe upo kwenye level gani kujifananisha na huyo mtu
Ndio ushahidi wa kuwa ACT ni tawi la CCM!?Zitto baada ya kutoka chadema alitaka kujiunga na CCM, kwa maelezo yake mwenyewe Zitto alisema Kikwete na marehemu filikunjombe ndio walimshauri asijiunge na ccm, badala yake ndio akaanzishwa ACT
Mimi na watusi wapi na wapi na ningekuwa mtus niogope nini siningesema tu. We endelea kujidanganya kama JWTZ wanauwezo ule wazamani, ni sawa sawa na wewe ujifananishe nguvu zako zakiume na zangu. Si vizee hatujula chips na kuku wanao totolewa na machine. Sisi vyakula vyetu ni nyama fresh, kuku wa kienyeji na mboga za majani. Sio nyie mnakula vyakula vinaitwa genetically modified foodKwan ww sio mtusi na mjinga mwenye asili ya Rwanda??