South Africa hapa Afrika mpinzani wake anaweza akawa Misri, Algeria na wengine wachache wasiozidi wawili. Wako well equiped brother, Rwanda hawezi fikiria kabisa kukabiliana na SA.Hapa mlengwa ni SA.
Pole sana, kwa taarifa yako tu jeshi la Rwanda RPDF limejaa wahutu kibao na wako loyal na taifa lao, na ndio maana wana intelijensia kali sana.Usiseme wanyarwanda sema watutsi we kabila moja linahodhi kila kitu halafu useme eti nchi hiyo ina uzalendo. Uzalendo upo ila wa kikabila
Hujui nina maisha kukushinda wewe unayeshinda humu kwa sababu tu unategemea makombo ya kutuiwa toka mezani kwa Samia na Genge lake?we nae tafuta maisha kila sku unalalamikaga tu
Kwa ufupi tu huyu jamaa Lugumi anaishi na spy wa kagame kama mke wake, halafu eti ndio ameshikilia tenda ya kuingiza silaha za jeshi nchini?Nchi imekufa kabisa. IKO UCHIIIIIII
Wazalendo wamebaki UVCCM
View attachment 3397718View attachment 3397719View attachment 3397720View attachment 3397721
View attachment 3397722
Lakini si huyo anayembeza (Kagame) kishajaribu na kuona mwenyewe udhaifu ulio (hilo analokumbushia askari wa Tanzania kufurumushwa na kulazimika kuwa chini ya ulinzi wake wakati wote wakiwa njiani kurudi nyumbani). Kwa hiyo huyu habezi bila kujuwa anachobeza.Wanaombeza au kukaa kimya basi hawajui uwezo wake huko frontier.
Watu ambao wanakaza FUVU ni MAJUHA tuKwa ufupi tu huyu jamaa Lugumi anaishi na spy wa kagame kama mke wake, halafu eti ndio ameshikilia tenda ya kuingiza silaha za jeshi nchini?
Mpaka kuba watu bado wanaamini hatuko uchi mbele ya kagame?
Kaka hii naunga mkono.Sema Rwanda ni mkoa wetu ni vile tu hamjapata kiongozi kama mimi
Habari za miaka 12 unazileta leo aisee!?
Mashambulizi ya kimtandao ama cyber bullying unafananishaje na vita!?Juzi tu hapo, tumetoka kwenye mashambulizi makali ya Wakenya dhidi ya Rais na Bunge.
Umeona Mtanzania yoyote anawatetea watawala au kuwapambania??
Au unadhani watu hawaoni??
Na unadhani ukiwapa waTZ hao hizo silaha wakapigane wataenda kupambanana siyo ku-SURRENDER??
Kama kumkataa Samia Suluhu Hassan na GENGE lake kuididimiza nchi hii nzuri ni "kuzeeka vibaya"; naomba mara mia nizeeke hivyo hivyo vibaya.Unazeeka vibaya wewe mzee
Kimsingi, ninakubaliana na hii dhana yako. Inasikitisha sana waTanzania tunaolazimika hata kuona nafuu ya kuvamiwa kuliko watawala wanaotuumiza wenyewe ha a.Mashambulizi ya kimtandao ama cyber bullying unafananishaje na vita!?
Embu shirikisha ubongo wako mkuu kwa upana, unadhani Kagame akija hapa akavamia nchi atachagua hawa CCM hawa sio CCM!?
Unadhani hasara moja kwa moja inakuja kwa nani kama sio taifa zima!?
Ni haki yangu kukutia adabu unaokengeuka!Acha shobo basi mama sijui baba, au huwa unaniota maana naona umekuwa busybody ghafla sana.
Kama huwezi kuona MOSHI.Mashambulizi ya kimtandao ama cyber bullying unafananishaje na vita!?
Embu shirikisha ubongo wako mkuu kwa upana, unadhani Kagame akija hapa akavamia nchi atachagua hawa CCM hawa sio CCM!?
Unadhani hasara moja kwa moja inakuja kwa nani kama sio taifa zima!?
Doh aisee ngoja ninyamaze.Kama huwezi MOSHI.
Hata MOTO huwezi kuona
Ihurumie tu, nchi yako.Doh aisee ngoja ninyamaze.
Wajukuu zako wanatabu sanaKama kumkataa Samia Suluhu Hassan na GENGE lake kuididimiza nchi hii nzuri ni "kuzeeka vibaya"; naomba mara mia nizeeke hivyo hivyo vibaya.
Hili siyo jambo la kujutia hata kidogo, ni jambo la kuonea fahari kubwa.
Umenielewa?
Cha muhimu ni uwezo wa silaha na uwezo wa kitaaluma wa mipango ya kupigana.Imeamua kuachana nae au kawadhalilisha? Jeshi la kichawa linawezaje kupambana na watu wenye akili?
watu wengi bna 🤣Hujui nina maisha kukushinda wewe unayeshinda humu kwa sababu tu unategemea makombo ya kutuiwa toka mezani kwa Samia na Genge lake?
Ni wajibu wangu kukumbusha hali yako hiyo duni uliyojiweka mwenyewe.
Nimeusoma huu uzi mkuu, aisee hii nchi kumbe iko uchi tangu kitambo sana kwa mr.Slim