johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sema " Wanadeka"Wanaume wengi wa kitanzania ni majinga
Kama lissu anataka apewe urais kwa kua tu alipigwa risasiSema " Wanadeka"
Kama lissu anataka apewe urais kwa kua tu alipigwa risasi
Bila shaka kwenye listi yako John Mrema ni mmoja wao😂😂😂😂😂😂Wanaume wengi wa kitanzania ni majinga
Hahahaaaa. John anapambana na Bona segerea!Bila shaka kwenye listi yako John Mrema ni mmoja wao😂😂😂😂😂😂
Kama lissu anataka apewe urais kwa kua tu alipigwa risasi
Yule Ummy ndio rais wa Tanga bwashee!Wanaume wa CCM ndio wenye uwezo wa kubaka demokrasia. Akina Ummy mwalimu wako kazini kuendelea kuomba Kura pamoja na umahiri wake
Alishindwa na mdada kwenye kura za maoni, wakamuengua mdada wakamuweka yeyeHahahaaaa. John anapambana na Bona segerea!
Duh....!Alishindwa na mdada kwenye kura za maoni, wakamuengua mdada wakamuweka yeye
Komredi kuongoza Intellegensia ya nchi ni jambo lingine kabisa.Mkuu mbona hata hapa kuna Dr. Makakala wa Uhamiaji ?? Hiyo itakua mpya huko Rwanda ila sio hapa nyumbani.