Katika michango yako humu JF hii itakuwa ya kwanza kwa mimi kuwa ni ya ajabu sana, kila Mtanzania ana haki ya kuwa kiongozi kutokana na uwezo wake wa kutatua matatizo ya Watanzania. Ubaguzi hautakubalika kwa namna yoyote ile. Hilo la PK mwachieni mwenyewe. Rwanda ni kamkoa tu hatutakiwi kukatilia maanani sana although we can watch them.
JPM anaonyesha nani ni mwamba hapa Afrika. JK Nyerere alianza na ukombozi sasa JPM anaenda kuiweka Tanzania kuwa economic giant kwenye ukanda wetu. Tuchape kazi bila kuwa na haya makando kando.