johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Sasa kupita bila kupingwa kuna tofauti gani na viti maalumu vya hao wanawake?Wanawake washapewa nafasi za ubunge wa viti maalum hii ipo fair, kama ndio ivi basi mnavyotaka kuwe na wabunge wengi wa kike basi kuwe na utaratibu wa kuwa na jinsia tofauti kati ya mbunge na mbunge viti maalum
Nami ninamshangaa! Anaacha kujadili maada anamrukia Lissu. Naona Lissu kamwingia sana moyoni. Mpaka anamkosesha akili na ufahamu.Na wewe kapigwe risasi 16 utibiwe nje ya nchi kwa miaka mitatu kisha urudi kukabiliana na aliyekupiga risasi huku akiwa anamiliki vyombo vyote vya ulinzi na usalama,mahakama,NEC nk. Fukiria kwa makini halafu uone kama ni jambo rahisi kama ilivyo rahisi kuandika hapa JF ukitumia false identity.
[emoji1][emoji1][emoji1] na Bona.Hahahaaaa....... John anapambana na Bona segerea!
Tofauti itabaki kwa jinsia tu Lakini vyote ni viti maalum.Sasa kupita bila kupingwa kuna tofauti gani na viti maalumu vya hao wanawake?
Hii inahusiana nini na mada iliyo mezan?Katika michango yako humu JF hii itakuwa ya kwanza kwa mimi kuwa ni ya ajabu sana, kila Mtanzania ana haki ya kuwa kiongozi kutokana na uwezo wake wa kutatua matatizo ya Watanzania. Ubaguzi hautakubalika kwa namna yoyote ile. Hilo la PK mwachieni mwenyewe. Rwanda ni kamkoa tu hatutakiwi kukatilia maanani sana although we can watch them.
JPM anaonyesha nani ni mwamba hapa Afrika. JK Nyerere alianza na ukombozi sasa JPM anaenda kuiweka Tanzania kuwa economic giant kwenye ukanda wetu. Tuchape kazi bila kuwa na haya makando kando.
Chizi huyo achana nae.... Akili zake zipo kwenye mifuko ya suruwaliHii inahusiana nini na mada iliyo mezan?
Uko nje ya mada bwashee!Katika michango yako humu JF hii itakuwa ya kwanza kwa mimi kuwa ni ya ajabu sana, kila Mtanzania ana haki ya kuwa kiongozi kutokana na uwezo wake wa kutatua matatizo ya Watanzania. Ubaguzi hautakubalika kwa namna yoyote ile. Hilo la PK mwachieni mwenyewe. Rwanda ni
kamkoa tu hatutakiwi kukatilia maanani sana although we can watch them. JPM anaonyesha nani ni mwamba hapa Afrika. JK Nyerere alianza na ukombozi sasa JPM anaenda kuiweka Tanzania kuwa economic giant kwenye ukanda wetu. Tuchape kazi bila kuwa na haya makando kando.
Uko nje ya mada bwashee!
Kuna mtu ame-hack ID yako nini?Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo.
Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za usoni kwa sababu wanajijengea ujasiri kwa kupambana na mambo magumu.
Akina baba tunakumbushana tusijisahau sana.
Maendeleo hayana vyama!
Rwanda siyo Tanzania kijana, priority zao ni tofauti na za Tz, lakini uwezo wa wanawake wa Rwanda si sawa na watz, kingine wao hawana ushabiki kwenye mambo ya nchi km huu unaofanya wewe.Uko nje ya mada bwashee!
Ushabiki uko Simba na Yanga!Rwanda siyo Tanzania kijana, priority zao ni tofauti na za Tz..lakini uwezo wa wanawake wa Rwanda si sawa na watz, kingine wao hawana ushabiki kwenye mambo ya nchi km huu unaofanya wewe..