Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

safi sana ameachiwa. Pongezi kwa US.
huyu mzee walimdhamiria mabaya, maana alichukua flight kutokea Dubai au Qatar safari yake akiwa anakwenda kwenye kongamano la kidini Burundi badala yake waka-divert flight ikatua Rwanda ndio akakamatwa.
Awakuidivert ilikuwa planned na Kagame na Mamluki wa Ki Israel wanaomlinda na kupanga program zake za kuwaangamiza asiowataka.Walimpigia Simu wakajifanya wa Burundi wanamwalika kwenye Kongamano Bunjumbura. Alipofika Dubai wakamwambia kuwa kuna Private Jet to Bunjumbura, Alipoingia ndani ya Ndege Wakamzibiti na kumpeleka Kigali.
 
Hii ilikuwa ni hatari sana ila tukubali idara ya ujasusi ya Rwanda ilifanya moja ya kazi kubwa sana, na hii nadhani ilikuwa ni kama salamu kwa wapinzani wengine wa kagame sema ndo ivo tena wakubwa wa Dunia wakaingilia hili suala
 
Kuna ubaya juu ya hilo kama ni Threat kwa National Security ya Rwanda? Siku zingine muwe mnatumia Akili. Hata CIA au Scotland Yard au FSB au Mossad ukienda nao Kinyume na kuwa Tishio kwa Mataifa yao utaondoka / utauliwa nao tu.
Nimechagua kukupuuza.
 
Mzee unamjua sana afande kagame kuliko sisi wajomba zake eeeh??????.
 
Back
Top Bottom