GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna ubaya juu ya hilo kama ni Threat kwa National Security ya Rwanda? Siku zingine muwe mnatumia Akili. Hata CIA au Scotland Yard au FSB au Mossad ukienda nao Kinyume na kuwa Tishio kwa Mataifa yao utaondoka / utauliwa nao tu.Kagame atamuua
Mnaomsifia kutoka mtaponza mazima.Nakala kwa: GENTAMYCINE
Awakuidivert ilikuwa planned na Kagame na Mamluki wa Ki Israel wanaomlinda na kupanga program zake za kuwaangamiza asiowataka.Walimpigia Simu wakajifanya wa Burundi wanamwalika kwenye Kongamano Bunjumbura. Alipofika Dubai wakamwambia kuwa kuna Private Jet to Bunjumbura, Alipoingia ndani ya Ndege Wakamzibiti na kumpeleka Kigali.safi sana ameachiwa. Pongezi kwa US.
huyu mzee walimdhamiria mabaya, maana alichukua flight kutokea Dubai au Qatar safari yake akiwa anakwenda kwenye kongamano la kidini Burundi badala yake waka-divert flight ikatua Rwanda ndio akakamatwa.
Nimechagua kukupuuza.Kuna ubaya juu ya hilo kama ni Threat kwa National Security ya Rwanda? Siku zingine muwe mnatumia Akili. Hata CIA au Scotland Yard au FSB au Mossad ukienda nao Kinyume na kuwa Tishio kwa Mataifa yao utaondoka / utauliwa nao tu.
Mimi nilishakudharau Kitambo tu Ok?Nimechagua kukupuuza.
Mzee unamjua sana afande kagame kuliko sisi wajomba zake eeeh??????.Kuna ubaya juu ya hilo kama ni Threat kwa National Security ya Rwanda? Siku zingine muwe mnatumia Akili. Hata CIA au Scotland Yard au FSB au Mossad ukienda nao Kinyume na kuwa Tishio kwa Mataifa yao utaondoka / utauliwa nao tu.
Mkuu huyo jamaa ana mahaba na kagame kuliko sisi wajomba zake🤣🤣🤣Nimechagua kukupuuza.