Kwa kawaida tu ukimuuliza Mtanzania wa kawaida bunge lililopita limeleta wazo gani lolote tofauti ambalo unalikumbuka? Jibu ni kwamba hakuna lolote wanalo likimbuka kwasababu wamejaa wabunge wengi fake wasiojua kuweka hoja? Lakini ubaya zaidi wananchi wengi wanaona bunge kama sio halali.
Kwa muda mfupi tu Lema amerudi juzi tu tayari ameleta mjadala mkubwa na wa kibunifu
Je kipato cha 10,000 kwa siku ni umasikini?
Je bodaboda ni kazi au umasikini?
Hata kama hatukubaliani ni hoja ya msingi na inaleta changamoto muhimu kwa serikali.
Hizi ndiyo hoja ambazo Raisi anataka kujua ili zijamasishe serikali. Imefikia wakati mawaziri wamezubaa mpaka ikabidi wakafundishwe Arusha na akawapeleka wakati Lema karudi makusudi waone ukweli na kukomaa kimawazo badala ya kutumia Polisi
Siasa pembeni Lema mfano katoa mawazo ya jinsi ya kuuza Tanzanite haya mawazo ni ya nchi sio chama.Viongozi badala ya kutoa mawazo wanajiita machawa wakati Mama anatafuta mawazo ya kimaendeleo na utendaji sio chawa.