Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

Hii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.

Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.

Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.

Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Hakisogezwi kitu hapo tutaingia mzigoni kuotetea tanganyika acha woga wako
 
Waulize wazee ,malawi walijaribu enzi za mwalimu.wakaweka meli za kijeshi,walichakazwa vibaya sana kimyakimyq ndani ya mda mchache sana..kimyaa jumla mpaka leo
Kamuzu alikuwa ameshiba kidogo akaona atikise kiberiti ila hili swala liliisha zamanni baada ya wakoloni kuondoka Wala halina siasa ndani yake, walinzi wa mipaka yetu JWTZ hilo ndo jukumu lao kubwa na la msingi la wao kuwepo so hii video aliyeweka huku ni kama katukumbushia tu Kamuzu alivojaribu ujinga wake.
 
Inahitaji uongozi dhaifu wa Tanzania kwa hayo kutimia. Lkn ni lazima tujue hao ndugu zetu hyo ndoto bado wanayo
 
Hii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.

Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.

Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.

Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Akikomaaje wakati ameshakufa?
 
Nimewahi kusoma hilo chapisho. Kesi ya Ziwa Nyasa kwa asilimia kubwa haipo upande wetu. Na kumbe mwanzoni Nyerere alitambua kwamba hatuna sehemu ya ziwa!! Alitegemea Wamalawi watakuwa reasonable na watamaliza suala mezani.

Chapisho lina mengi sana.

Nimeona hayo kwenye chapisho. Kumbe Nyerere na Kawawa walishakubali mpaka wa ufukwe wa mashariki wa ziwa.

Anasema kesi ikienda mahakamani Tanzania itashindwa. Ila ikienda kwenye arbitratiin Malawi nayo inakuwa haina imani na wasukuhishi kama Tahabo Mbeki na Chissano/SADC ambako Tanzania ina ushawishi mkubwa sana.

Anasema mafuta ndiyo yanachochea mgogoro. Kuna waziri mmoja alisema kama kusingekuwa na matarajio ya kupata mafuta kusingekuwa na mgogoro.

Ila ame suggest a Solomonic solution ambayo Malawi wanaweza kupewa mpaka wao na wananchi wa Tanzania wakapewa nafasi ya kutumia ziwa.
 
Hii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.

Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.

Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.

Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Bado unafikra za ndogo
 
Sehemu pekee ambako unakutana na watanzania ambao unahisi hawa hawakupaswa kuwa watanzania ila kuwa wamalawi nafikri ni vijiji vyote vulivyo karibu na Nang'ombo mwaziwa nyasa nyumbani kwao Judge Samatha na maeneo fulani ya Ileje. Kule lugha wanayozungumza ni ya Malawi kabisa. Yote kwa yote mipaka iheshimiwe maana ikisemwa maeneo yote yachukuliwe itakuwa shida. Kuna maeneo fulani ya Mhukuru Ruvuma kule ndani kabisa mambo mengi yanafanyika ni ya nchi ya msumbiji. Bidhaa zinatoka msumbiji hadi Kanga za kina Frelimo na Fanta ni za huko..

Fikiria Wazambia pia wakiamua kuchukua eneo la Wamambwe kule mambwe Kenya Rukwa pia linaweza enda Zambia maana wakina Sinkala ndio watawala wa eneo la Tanzania na Zambia kule mpakani.
Maeneo yoooooote ya Tanganyika yanayo pakana na Nchi jirani kuna bidhaa,na siyo tu bidhaa bali hata kuoana wanaoana wa pande mbili tofauti kwani kuna Mjaluo,Mmasai,Mkurya,Mmatengo,Mmakonde,Mchewa,Mndali,Mtusi,Mhutu wa Tanganyika na ana ndugu zake Nchi jirani.

Kwa hiyo kununua bidhaa pengune kutokana na ubora wake ama urahisi wa upatikanaji wa bidhaa hiyo USIIFANYE kuwa ni sababu na kusema eti WANATAMANI kuwa wa MALAWI,SIYO KWELI.
 
Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
Kwa taarifa yako ni kwamba tukitaka kutumia maji ya ziwa victoria (mfano Matumizi makubwa mfano kuweka mradi wa kusambaza maji kwenda vijiji na mikoa jirani ) ni lazima tupate kibali kutoka Misri kwani wao wanategemea mto nile kwa asilimia zaidi ya 90 na Chanzo cha mto nile ni ziwa victoria.

Kibali kinatolewa endapo tu matumizi hayo hayatasababisha maji kupungua hadi kufikia kina fulani. Note that kina cha ziwa victoria kinakadiriwa kuwa na mita 1,400 na point kadhaa. Tafuta humu kuna nyuzi nyingi zimejadili hili jambo.
 
Kuingia frontline kupigania mpaka ? 😅🤣 Mimi nitakua wa mwisho kuvaa hizo kombati. Nitavaa kombati kupigania amani na utulivu na sio mipaka. Mipaka ni mamno ya kipuuzi tu haya. Watu wanaoishi pande zote ni wale wale tu na tena wengine wana ndgu upande huu na ule.
Kizazi cha 2000 kinajulikana tu.
 
Sijui makabila mengine ila huku usukumani ukigusa mpaka wangu hata nusu rula tu kama hatakufa mmoja wapo ngoma itakuw bado sana.

Mpaka hauhitaji siasa kama damu zimwagwe tu mimi nimeona watu wanakufa sana kwa sababu ya mipaka yaani hatua moja ulkiingia kwa msukuma aisee akikushindwa kwa dawa anakuja na panga.
 
Back
Top Bottom