Hakisogezwi kitu hapo tutaingia mzigoni kuotetea tanganyika acha woga wakoHii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.
Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.
Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.
Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
UumbwaaaVijana wa hovyo wakina Maghayo na The Stress Challengerr wapo tutawapeleka front line
Kamuzu alikuwa ameshiba kidogo akaona atikise kiberiti ila hili swala liliisha zamanni baada ya wakoloni kuondoka Wala halina siasa ndani yake, walinzi wa mipaka yetu JWTZ hilo ndo jukumu lao kubwa na la msingi la wao kuwepo so hii video aliyeweka huku ni kama katukumbushia tu Kamuzu alivojaribu ujinga wake.Waulize wazee ,malawi walijaribu enzi za mwalimu.wakaweka meli za kijeshi,walichakazwa vibaya sana kimyakimyq ndani ya mda mchache sana..kimyaa jumla mpaka leo
Kama ni hivyo awachukue hao watu kama wanataka, ila ardhi atuachieYupo sahihi, huoni hata tabia za watu wa huko, hiyo mikao ipo Tanzania lakini tabia zao ni za watu wa Malawi kabisa...
Cc: Mahondaw
Akikomaaje wakati ameshakufa?Hii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.
Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.
Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.
Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Nimewahi kusoma hilo chapisho. Kesi ya Ziwa Nyasa kwa asilimia kubwa haipo upande wetu. Na kumbe mwanzoni Nyerere alitambua kwamba hatuna sehemu ya ziwa!! Alitegemea Wamalawi watakuwa reasonable na watamaliza suala mezani.
Bado unafikra za ndogoHii kitu iliwahi ongelewa humu miaka ya nyuma ni kama ramani ilichezeshwa mahali.
Iliwahi tokea hadi hiyo mipaka ikawa inalindwa muda wote.
Hata sasa najua wapo wanajeshi wetu muda wote wanalinda huo mpaka.
Ila, nakuapia akikomaa mpaka utasogezwa, note me.
Maeneo yoooooote ya Tanganyika yanayo pakana na Nchi jirani kuna bidhaa,na siyo tu bidhaa bali hata kuoana wanaoana wa pande mbili tofauti kwani kuna Mjaluo,Mmasai,Mkurya,Mmatengo,Mmakonde,Mchewa,Mndali,Mtusi,Mhutu wa Tanganyika na ana ndugu zake Nchi jirani.Sehemu pekee ambako unakutana na watanzania ambao unahisi hawa hawakupaswa kuwa watanzania ila kuwa wamalawi nafikri ni vijiji vyote vulivyo karibu na Nang'ombo mwaziwa nyasa nyumbani kwao Judge Samatha na maeneo fulani ya Ileje. Kule lugha wanayozungumza ni ya Malawi kabisa. Yote kwa yote mipaka iheshimiwe maana ikisemwa maeneo yote yachukuliwe itakuwa shida. Kuna maeneo fulani ya Mhukuru Ruvuma kule ndani kabisa mambo mengi yanafanyika ni ya nchi ya msumbiji. Bidhaa zinatoka msumbiji hadi Kanga za kina Frelimo na Fanta ni za huko..
Fikiria Wazambia pia wakiamua kuchukua eneo la Wamambwe kule mambwe Kenya Rukwa pia linaweza enda Zambia maana wakina Sinkala ndio watawala wa eneo la Tanzania na Zambia kule mpakani.
Huyu Mzee alikuwa anavuta bangi za wapi? Kwa kuwa ziwa liko Malawi hadi Tanzania ndio apewe hiyo mikoa yote? Likiongezeka hadi Iringa na Dodoma atasema nayo wapewe? Nonsense.Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
View attachment 3186715
Kwa taarifa yako ni kwamba tukitaka kutumia maji ya ziwa victoria (mfano Matumizi makubwa mfano kuweka mradi wa kusambaza maji kwenda vijiji na mikoa jirani ) ni lazima tupate kibali kutoka Misri kwani wao wanategemea mto nile kwa asilimia zaidi ya 90 na Chanzo cha mto nile ni ziwa victoria.Naomba kujua kuhusu ziwa Victoria
Kizazi cha 2000 kinajulikana tu.Kuingia frontline kupigania mpaka ? 😅🤣 Mimi nitakua wa mwisho kuvaa hizo kombati. Nitavaa kombati kupigania amani na utulivu na sio mipaka. Mipaka ni mamno ya kipuuzi tu haya. Watu wanaoishi pande zote ni wale wale tu na tena wengine wana ndgu upande huu na ule.