BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa.
Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi.
RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo haya
1) Bandari kubinafsishwa Kwa Mkataba wenye hila
2) Tozo Kila mahali,lakini Bado nchi Haina Hela.
3) Kuharibu uchumi,Bei ya dollars, mafuta,vifaa vya ujenzi,vyakula m.k
4) Utekaji,kupoteza watu
5) kupitisha Sheria za kukandamiza watu.
6) Upendeleo Kwa makundi Fulani na kuonea makundi mengine.
Nichukue nafasi hii kukujulisha kuwa Mungu yupo na anatutathmini kazi zetu, usiponyenyekea na kutenda HAKI.
Haijalishi unamipango mizuri kiasi Gani,hutatoboa.