Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na Manara?

Hapa wote Rais Karia na Manara walitakiwa kuitwa kwenye tume ya maadili wakahijiwe kwakuwa wote walionekana wakijibizana jukwaani kila mtu akijichukulia mwenyewe sheria mkononi.
 
Alipopewa adhabu akiwa Simba mlichekelea ila Kwa sababu yuko utopolo kama kawaida yenu mnalialia alichopewa ndicho anastahili
 
kwa hyo mnapenda watu wanavyotukanwa?
hivi Yale maneno machafu anayoyasema manara ndo yanakuza mpira?
hyo adhabu ni nzuri na inafaa kumrekebisha.mkimchekea atakuja kumtukana Samia
Hivi kutukana kaanza leo? Mbona alipokuwa Ukolokoloni fc alitukana Sana watu incl. Waandishi na viongozi mbalimbali lakini nyie mlikuwa mkimtukuza kwa vitendo hivyo. Tusiwe wepesi wa kusahau ndg kwa sababu ya ushabiki maandaxi, binafsi siipendi tabia zake za matusi. Hii tabia ya matusi alianza kotambo Hadi na nyie mashabiki wa ukolokolo fc mkaiiga na kuifuatilia. Hebu fuatitlia kwenye jukwaa Ni shabiki wa timu gani wanaongoza kwa matusi Kama so nite Simba SC. Kumbuka Charity begins at home never grows bad. Kuna mtu anajiita Gentamycine humu, Ana tofauti gani na Manara kwa kutukana? Na wengine mpo wengi humu. Hivyo tukubali kwa kuwa Simba SC Ni chuo Cha mitusi, na Manara amefuxu kwa mitusi Kama baadhi yenu mlivyo including kubwa lao Gentamycine a k a Popoma. Nasubiria mitusi yenu Kama kawaida yenu.
 
Simba ndio waliomlea Manara hadi akawa hivyo...aliwahi mkejeli yule dada wa Clouds hadi dada wa watu akawa analia hovyo kwa maumivu ya nafsi
 
Shida bongo ndo hyo mtu asihukumiwe mtaleta utimu au uchama,Manara ni jeuri mnooo,hanaga mpira wa kirafiki hajui tu watu hawampendi kiasi gani na soon watamsahau,kwani ushabiki mpk udhalilishe watu,Mara ngapi Hajji anadhalilisha watu kibao anaacha au kupigwa fine,alivokua Simba mbona alishapigwa fine.

Hapa sio kaonewa aanastahiki maana anajiona yeye ni Bora kuliko watu wote kwenye soka la TZ,ifike mahali aheshimu Sheria na aishi kistaarabu mpira si uadui,toka Manara aingie kwenye soka la Simba na Yanga, amefanya tusiwe watani tuwe maadui
Mimi binafsi natamani akae pembeni ht 5yrs hukoo aone km Simba na Yanga hazitaenda bila yeye
Hili suala mnaleta utimu Ila kiukweli Yule mtoto jeuri km aliita Yanga wote akili hawana kasoro watu wawili tu.
 
Amefuxu? Ni nini hii?
 
Popoma GENTAMYCINE kuna mtu anakusema huku
 
Simba ndio waliomlea Manara hadi akawa hivyo...aliwahi mkejeli yule dada wa Clouds hadi dada wa watu akawa analia hovyo kwa maumivu ya nafsi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wote si wako huko team 1? Waangalie namna ya kusaidiana ktk hili. Prisca Kishamba eeeh???
 
Shida bongo ndo hyo mtu asihukumiwe mtaleta utimu au uchama,Manara ni jeuri mnooo,hanaga mpira wa kirafiki hajui tu watu hawampendi kiasi gani na soon watamsahau,kwani ushabiki mpk udhalilishe watu,Mara ngapi Hajji anadhalilisha watu kibao anaacha au kupigwa fine,alivokua Simba mbona alishapigwa fine.

Hapa sio kaonewa aanastahiki maana anajiona yeye ni Bora kuliko watu wote kwenye soka la TZ,ifike mahali aheshimu Sheria na aishi kistaarabu mpira si uadui,toka Manara aingie kwenye soka la Simba na Yanga, amefanya tusiwe watani tuwe maadui
Mimi binafsi natamani akae pembeni ht 5yrs hukoo aone km Simba na Yanga hazitaenda bila yeye
Hili suala mnaleta utimu Ila kiukweli Yule mtoto jeuri km aliita Yanga wote akili hawana kasoro watu wawili tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Takadini atupisheeeeee.
 
Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na Manara?

Hapa wote Rais Karia na Manara walitakiwa kuitwa kwenye tume ya maadili wakahijiwe kwakuwa wote walionekana wakijibizana jukwaani kila mtu akijichukulia mwenyewe sheria mkononi.
Atahojiwa
 
Ukiangalia ile video kulikua kuna kurushiana maneno,so kama kulikua na matusi basi walitukanana
kwa hyo mnapenda watu wanavyotukanwa?
hivi Yale maneno machafu anayoyasema manara ndo yanakuza mpira?
hyo adhabu ni nzuri na inafaa kumrekebisha.mkimchekea atakuja kumtukana Samia
 
kwa hyo mnapenda watu wanavyotukanwa?
hivi Yale maneno machafu anayoyasema manara ndo yanakuza mpira?
hyo adhabu ni nzuri na inafaa kumrekebisha.mkimchekea atakuja kumtukana Samia
Je, Karia alivyotukanwa na yeye alisena nini? Mbona kama vile walikuwa wakijibizana hadharani wote 2?
 
Alipopewa adhabu akiwa Simba mlichekelea ila Kwa sababu yuko utopolo kama kawaida yenu mnalialia alichopewa ndicho anastahili
Makosa hayafanani kaka. Hapa tungependa kukisikia kile alichokisema kila mhusika kwenye mabishano Yale.
 
Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na Manara?

Hapa wote Rais Karia na Manara walitakiwa kuitwa kwenye tume ya maadili wakahijiwe kwakuwa wote walionekana wakijibizana jukwaani kila mtu akijichukulia mwenyewe sheria mkononi.
wamedhihirisha kuwa TFF ni kataasisi ambako ni kituko kuliko kangaroo courts. hiyo ndio picha yao halisi. ina maana hawana hata akili ya kufowasii mbele matokeo ya jambo wanayoyafanya. walitakiwa kupredict kwamba kufanya hivyo wangepunguza heshima kwenye macho ya umma, wangempa adhabu ndogo au yeyote reasonable. na mchakato usiwe biased. hapo sasa karia ameshajichinja, lazima ataondoka
 
Back
Top Bottom