Hivi kutukana kaanza leo? Mbona alipokuwa Ukolokoloni fc alitukana Sana watu incl. Waandishi na viongozi mbalimbali lakini nyie mlikuwa mkimtukuza kwa vitendo hivyo. Tusiwe wepesi wa kusahau ndg kwa sababu ya ushabiki maandaxi, binafsi siipendi tabia zake za matusi. Hii tabia ya matusi alianza kotambo Hadi na nyie mashabiki wa ukolokolo fc mkaiiga na kuifuatilia. Hebu fuatitlia kwenye jukwaa Ni shabiki wa timu gani wanaongoza kwa matusi Kama so nite Simba SC. Kumbuka Charity begins at home never grows bad. Kuna mtu anajiita Gentamycine humu, Ana tofauti gani na Manara kwa kutukana? Na wengine mpo wengi humu. Hivyo tukubali kwa kuwa Simba SC Ni chuo Cha mitusi, na Manara amefuxu kwa mitusi Kama baadhi yenu mlivyo including kubwa lao Gentamycine a k a Popoma. Nasubiria mitusi yenu Kama kawaida yenu.