Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

Kuna siku aliwatukana watu woooote wanaoipenda na kuishabikia Yanga isipokuwa baba yake na Rais Kikwete TU lakini Karia na wenzake walikuwa kimya. Yaani aliwatukana watu wote wote kabisa wakiwemo Mawaziri, wabunge, nk wanaoipenda Yanga. Hivi Karia ni mkubwa kuliko Mawaziri akina Mwigilu?
 
Matusi ni kosa la jinai. Binafsi sikutarajia siku ile kumuona Rais Karia amesimama anabishana kwa nguvu zote na Manara hadharani, badala yake ningetegemea kuona Manara amekamatwa na polisi kwa kosa la kumtukana Rais Karia bila kosa lolote.
 
Kama hawakufungua shauri kuhusu kutukanwa ina maana walikubaliana na kauli ya zeruzeru,na hata kauli zao hapa jukwaani ni kweli wako hivyo. Haiwezekani mtu awatusi kiasi hicho na leo katiwa hatiana kwa kosa kama hilo hilo halafu wanashupaza shingo kumtetea kuwa anaonewa. Hawa watu ni kweli ni hamnazo
 
Makosa hayafanani kaka. Hapa tungependa kukisikia kile alichokisema kila mhusika kwenye mabishano Yale.
Malinzi alimfungia Manara miaka Saba aliyetengua adhabu ni Karia baada ya kuingia madarakani Kwa kifupi Manara amenasa pia ajue siku hazifanani
 
Malinzi alimfungia Manara miaka Saba aliyetengua adhabu ni Karia baada ya kuingia madarakani Kwa kifupi Manara amenasa pia ajue siku hazifanani
Manara ni mtukutu lakini kosa lake adhabu yake ni hii? au hasira ya mambo mengine imejumlishwa humo pia?
 
Tisi ni kosa la jinai, kama Manara kamtukana mtu aende mahakamani kudai haki yake. Je hii adhabu aliyopewa na TFF itamnufaishaje aliyetukanwa. Je sehemu ya 20m inaenda kwake?
 
Imeisha iyoo,ilikua ni swala la muda tu,Manara kupambana na Simba amekanyaga mstari mwekundu.
Simba ni lidude flani hivi kuuuubwa sana[emoji375][emoji375]
 
sheria za kipopoma sana hizi, yani wamemhukumu Manara moja kwa mona wakati issue ilihusishsha wote wa wili
Lakini, si Manara mwenyewe alisema hatambui kufungiwa kwake hadi apewe barua? By the way, hivi ameishapewa nini maana yupo kimya sana.
 
Kwa hiyo wewe ukitukanana na Rais unataka na Rais ahojiwe
Ukimtukana Rais huendi kulala nyumbani kwako siku hiyohiyo. Huyu 'rais' hana ulinzi? hapakuwa na ulinzi, hakuna aliyeyasikia matusi hayo hadi Haji akaenda kulala nyumbani kwake? Hapa mlalamikaji ndiye aliyeamua aina ya adhabu kwa Haji
 
Simba wachukue mandonga mtu kazi kuhamasisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…