Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Kenyatta, Ruto nawaombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalonzo wa NASA afunga campaign ya NASA akionya Watu Wa Mlima Kenya (Wakikuyu) kuwa watalipia ikiwa NASA itashika uongozi. Kweli NASA ni watu wa siasa za chuki. Upumbavu wao umekithiri.
Tunawasubiri wakimbizi. Maeneo ya mipakaniAcha ujinga kama hujui siasa kaa kimya usilete siasa za maji taka za TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]One nation under God. It gives great joy to see one is giving thanks and praise to the most high hata akiwa anafake but it soothe and honour God.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, wala sijawai dhani Uhuru anafake. Hii ndo character yake hata kabla awe rais. Tunawafahamu wale wanaopita kwa waganga kule Nigeria. Kesho yake unawaona Israel. Kwao ni maigizo tu. Juzi juzi waliwaambia wafuasi wao wasifanye ngono usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura! Maombi ni kitu simpo sana lakini muhimu zaidi ya mengine yote!