Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena.

Rais Uhuru amemtaka waziri wake kusimamia hilo.

Rais Samia amesema Kenya wana bahati wanaye Uhuru atakeyewaletea Uhuru wa kufanya biashara na yeye Suluhu ataleta Suluhisho.

Kazi Iendelee!
===

President Uhuru Kenyatta has on Wednesday May 5, ordered the relevant authorities to clear the barriers that have prevented the flow of trade at the borders in over a month with immediate effect.

While addressing the high level business forum between Tanzania and Kenya held today May 05, 2021 at the Serena Hotel, Nairobi, President Uhuru Kenyatta asked his Agricultural Minister to make sure that the maize that is stranded at the borders are cleared in two weeks.

|”I know you intend to have a meeting in four weeks time but there are things that cannot wait any longer. So make sure in the coming two weeks all maize at the border is cleared,” he said.

Speaking on trade issues between the two countries, President Kenyatta said sometimes Tanzanians get hard time when they want to do business in Kenya because of the protocols.

Kenyatta said he wants to set good environment for investors from Tanzania to invest in Kenya, “from now on you can come and invest here in without asking for work permit and visas as long as you follow the country’s laws.”

He also asked the minister of health to clear cars from Tanzania that are stranded at borders of Holili and Namanga.

“If the issue is Covid-19 why don’t the ministers of health meet and discuss how they will deal with the tests so that it doesn’t affect business sector. If they get tested in Tanzania and they come with certificates allow them to travel in Kenya because this is among the issue we have agreed with my sister President Samia,” he added.

Source: President Kenyatta orders quick clearance of maize stranded at border
 
Hili ni moja kati ya mambo niliyotaka yafanyiwe kazi, kumbe yale mahindi hayakuwa na sumu ni ulipaji kisasi tu cha kile Magufuli alichowafanyia wakenya kwa kuku wao.
kuna zaid ya hapo. scorching earth method kwenye biashara huwa haisaidii.
 
Hili ni moja kati ya mambo niliyotaka yafanyiwe kazi, kumbe yale mahindi hayakuwa na sumu ni ulipaji kisasi tu cha kile Magufuli alichowafanyia wakenya kwa kuku wao, Samia kaenda kupata Suluhu.
Una ushahidi?
 
Uhuru ako na shida ipi? Kuwa straight, sema Meko ndio alikuwa tatizo..
uhuru na pombe,too much of anything is harmful.inatakiwa kunywa kwa kiasi,haoni sasa kukawa na visasi,akikaza uyu na uyu nae anakaza,ukinizingua nakuzingua
 
ipo siku yatagaga watatuweka wazi hizi offer tunazo zipata kwa sabab zisizo eleweka

sisikii tz imetowa nin bali imepewa tu
 
Hakuna uwezekano wa Rais wa Zanzibar kuwa Mtanganyika.. lakini uwezekano wa Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania ambayo ni kama Tanganyika upo je swala la vitu ambavyo si vya muungano na ambavyo vipo ndani ya mipaka ya Tanganyika inakuwaje Mzanzibari kuanza kutia sahihi na kuanza kuuza mfano Gas na Mafuta havipo ktk mambo 22 ya muungano.

Leo ukianimbia sijui Samia ni Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania haya eneo ya ilo jamuhuri ni wapi? Watuonyeshe tu kwamba hapa ni Eneo la Jamuhuri hapa kwa maana sifa ya Taifa au Serikali lazima iwe na eneo na mipaka yake eneo la Zanzibari linajulikana kila mtu analijua.
 
Wacha tuwapeleke unga jamaa zetu wasije tufia njaa
Wao si mrungi wameona ndio zao
 
Hili ni moja kati ya mambo niliyotaka yafanyiwe kazi, kumbe yale mahindi hayakuwa na sumu ni ulipaji kisasi tu cha kile Magufuli alichowafanyia wakenya kwa kuku wao, Samia kaenda kupata Suluhu.
By the Way Kenyans are Kenyans.Our slogan Home first!!!
 
Back
Top Bottom