Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

Rais Kenyatta ampa Waziri wake wa Biashara wiki mbili kuhakikisha mahindi ya Tanzania yanaingizwa Kenya, Rais Samia asema yeye ni Suluhisho

Mwendazake aliendesha nchi kwa utemi na ugumu ugumu mno, unaona sasa kumbe mambo ni laini hivi....
 
Hakuna uwezekano wa Rais wa Zanzibar kuwa Mtanganyika.. lakini uwezekano wa Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania... ambayo Ni kama Tanganyika upo je swala la vitu ambavyo si vya muungano na ambavyo vipo ndani ya mipaka ya Tanganyika inakuwaje Mzanzibari kuanza kutia sahihi na kuanza kuuza mfano Gas na Mafuta havipo ktk mambo 22 ya muungano.

Leo ukianimbia sijui Samia ni Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania haya eneo ya ilo jamuhuri ni wapi? Watuonyeshe tu kwamba hapa ni Eneo la Jamuhuri hapa kwa maana sifa ya Taifa au Serikali lazima iwe na eneo na mipaka yake eneo la Zanzibari linajulikana kila mtu analijua.
likewise Mtanganyika huwezi kununua ardhi Zanzibar hata kama una hela kibao ila mzanzibari kuhusu kumiliki hata kitalu cha wanyama achilia mbali ardhi tu.
 
ipo siku yatagaga watatuweka wazi hizi offer tunazo zipata kwa sabab zisizo eleweka

sisikii tz imetowa nin bali imepewa tu
Unataka usikie nini? Wakati Kenya wana makampuni zaidi ya 500 sisi ni 30 tu,huoni kama wao ndio wanafaidika? Au unataka ule upuuzi wa Magufuli uendelee rafikiyetu ni Nkurunziza tu.
 
likewise Mtanganyika huwezi kununua ardhi Zanzibar hata kama una hela kibao ila mzanzibari kuhusu kumiliki hata kitalu cha wanyama achilia mbali ardhi tu.
Haya ndo mapungufu tena ni makubwa sana wanasema jamuhuri ya muungano ambayo aina ardhi au eneo lake eneo lake ni Tanganyika lakini Zanzibar inakuwa kama nchi ambayo Mtanganyika hana haki zote ikiwemo kupata vitambulisho vya ukazi lakini kwenye eneo la Mtanganyika mzanzibari ana haki zote za kufanya anachotaka
 
Hakuna uwezekano wa Rais wa Zanzibar kuwa Mtanganyika.. lakini uwezekano wa Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania... ambayo Ni kama Tanganyika upo je swala la vitu ambavyo si vya muungano na ambavyo vipo ndani ya mipaka ya Tanganyika inakuwaje Mzanzibari kuanza kutia sahihi na kuanza kuuza mfano Gas na Mafuta havipo ktk mambo 22 ya muungano.

Leo ukianimbia sijui Samia ni Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania haya eneo ya ilo jamuhuri ni wapi? Watuonyeshe tu kwamba hapa ni Eneo la Jamuhuri hapa kwa maana sifa ya Taifa au Serikali lazima iwe na eneo na mipaka yake eneo la Zanzibari linajulikana kila mtu analijua.
Mkuu mbona unateseka!!
Hii ni "Serikali ya jamuhuri ya Muungano".
Hilo linatosha kumfanya mzanzibari aongeze serikali hiyo.
Ndiyo maana kuna hoja ya serikali tatu.
Nyinyi watanganyika mnafaidika na "Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania" huku mkidhani ndani ya jamuhuri hiyo kuna baadhi ya vitu si vya Muungano wakati serikali yenyewe ni ya Muungano.
Haiwezekani udai kuna wizara furani siyo za Muungano wakati serikali yenyewe ni ya Muungano wa nchi mbili.
Kwa taarifa yako vyote vilivyo chini ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ni mali ya Tanganyika na Zanzibar mpaka pale tu zitakapoundwa serikali tatu.
 
Hakuna uwezekano wa Rais wa Zanzibar kuwa Mtanganyika.. lakini uwezekano wa Mzanzibari kuwa rais wa Tanzania... ambayo Ni kama Tanganyika upo je swala la vitu ambavyo si vya muungano na ambavyo vipo ndani ya mipaka ya Tanganyika inakuwaje Mzanzibari kuanza kutia sahihi na kuanza kuuza mfano Gas na Mafuta havipo ktk mambo 22 ya muungano...
Kwani wewe unatakaje?
 
Wakenya rudini mwendazake ayupo mlikuwa mnanua matikitiki mananasi hadi bagamoyo kwa pesa cash nzuri,nyanya,miti,viazi mviringo,vitunguu, maharage kwa pesa cash bei nzuri wakulima wetu wakazifurusha nyumba za udongo na nyasi kwa kasi ya 5G Bati ziking'ara na solar juu sababu yetu.

Wacomoro nanyi rudini mjae kwenye minada yetu ya ng'ombe na mbuzi wafugaji wapate pesa wasomeshe watoto. Zama za propaganda feki za utetezi wa wanyonge huku vitu bei juu pesa Hakuna mtaani zimepita.Maisha ni leo sio kesho.
 
Back
Top Bottom