Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo.

Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na miradi ikamilike.

Chanzo: Citizen tv

My take;
Wale wanaohoji uteuzi wa mzee Cleopa Msuya wana la kujifunza!
 
Tubadilike na mifano yetu, Msuya kupewa uteuzi ni kumpunguzia njaa na kulindana
 
Kwanini usingemalizia kwa kumtaja huyo aliyeteuliwa kwa jina lake
 
1571857166354.jpeg

Mna mengi sana ya kujifunza.
 
Nwpendekeza Mzee Mtei awe mwenyekiti taifa wa Bavicha yaani Baraza la vijana wa chadema
 
Back
Top Bottom